Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Amphibian mpenda dezo kula kulala kwa shemejie hahahaaa, tumia hela ulinayo uruke hadi sauzi kushuhudia kuzaliwa kwa Mwakarobo jr huko Pretoria [emoji23][emoji23]
Maskini huyo ana uwezo wa kwenda south africa? Yeye na makapuku wenzie akina nalia mgwena sjui wao wabaki hapa hapa jamii forums kupiga domo
 
Huyo anayeamini hivyo akapimwe akili kwanza
Inawezekana wewe ndiye ukapimwe kwani inaonyessha hujui kuwa mpira huchezwa kwa dakika tisini na ndani ya muda huo matokeo yoyote yanawezekana. Wenye akili tunaamini kuwa Al-Ahly atakuwa na adabu asimguse chuchu mai wetu.
 
Inawezekana wewe ndiye ukapimwe kwani inaonyessha hujui kuwa moira huchezwa ka dakika tisini na ndani ya muda huo matokeo yoyote yanawezekana. Wenye akili tunaamini kuwa Al-Ahly atakuwa na adabu asimguse chuchu mai wetu.
Hata kama mkuu...it's impossible
 
Inawezekana wewe ndiye ukapimwe kwani inaonyessha hujui kuwa mpira huchezwa kwa dakika tisini na ndani ya muda huo matokeo yoyote yanawezekana. Wenye akili tunaamini kuwa Al-Ahly atakuwa na adabu asimguse chuchu mai wetu.
Ndoto za kolo mmoja
 
Back
Top Bottom