Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Laban fek, hautopenda ila itakuwa hivi mpaka dakika 80+ Al haly 1 Simba SC 1 dakika za 90+ Simba SC watapta goli then matokeo yanakuwa 1-2,
Najua hata wewe huamini kama itakuwa hivyo [emoji23]
 
Tath
Tathmini yako ni ya kipumbavu!
 
simba wala yanga hazitashinda,tutatolewa japo kwa mbinde,tunakwenda kujifunza zaidi,hatuna timu za kuingia nusu fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…