Hawa ndugu zetu .....wamtafute sheria Ngoyi.....awape lecture
Simba wametia aibu sana,jezi nyeupe ya Simba ndo Huwa naikubali ila mwaka huu sijui wamezalisha niniUkiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao na sio jezi , nikirudi nitawaambia haiwezekani jezi ukinunua unaambiwa hii usiifue “
Jezi za timu gani ukizifua imekula kwako ?View attachment 2696013
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Jezi zote nzuri kwa mimi nisie na ushabiki. Ushabiki ni upofu kuna kinyozi wangu alinichekesha last week ananiambia mayele haondoki yanga na thamani yake ni 4B ambayo simba ni thamani ya kikosi kizima. Nikacheka nikijua ushabiki ndio unaongea japo sifuatilii mpira ila kuna mambo ushabiki unafanya udanganye au usione uhalisiaUkiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao na sio jezi , nikirudi nitawaambia haiwezekani jezi ukinunua unaambiwa hii usiifue “
Jezi za timu gani ukizifua imekula kwako ?View attachment 2696013
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
itoshe kusema hauna marinda na akili pia hauna.Ukiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao na sio jezi , nikirudi nitawaambia haiwezekani jezi ukinunua unaambiwa hii usiifue “
Jezi za timu gani ukizifua imekula kwako ?View attachment 2696013
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sijawahi kutarajia kusikia Shetani akimpa maua yake Mwenyezi Mungu.Ukiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao na sio jezi , nikirudi nitawaambia haiwezekani jezi ukinunua unaambiwa hii usiifue “
Jezi za timu gani ukizifua imekula kwako ?View attachment 2696013
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hiki ndio tunataka wanasimba yaani Simba iwe mdomoni tuUkiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao na sio jezi , nikirudi nitawaambia haiwezekani jezi ukinunua unaambiwa hii usiifue “
Jezi za timu gani ukizifua imekula kwako ?View attachment 2696013
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Utokolo kibegi kimewavurugia hadi siku yenu hamuioni dadeqUkiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao na sio jezi , nikirudi nitawaambia haiwezekani jezi ukinunua unaambiwa hii usiifue “
Jezi za timu gani ukizifua imekula kwako ?View attachment 2696013
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna haja ya kupewa elimu.....Simba wametia aibu sana,jezi nyeupe ya Simba ndo Huwa naikubali ila mwaka huu sijui wamezalisha nini
Mm mwenyewe sio shabiki wa mpira wa bongo .....ila jezi za namumgo singida Azam na YANGA ni classic jerseyJezi zote nzuri kwa mimi nisie na ushabiki. Ushabiki ni upofu kuna kinyozi wangu alinichekesha last week ananiambia mayele haondoki yanga na thamani yake ni 4B ambayo simba ni thamani ya kikosi kizima. Nikacheka nikijua ushabiki ndio unaongea japo sifuatilii mpira ila kuna mambo ushabiki unafanya udanganye au usione uhalisia
Tafuteni wataalamu kutengeneza jeziitoshe kusema hauna marinda na akili pia hauna.
Haiwezekan watoto wadogo kina singida big [emoji93] wanawashinda makolo kutengeneza jeziKwamba Labani og ni mtu wa [emoji304]? [emoji38][emoji1787][emoji1732] Na inawezekana kabisa.
Huwezi kusikiaSijawahi kutarajia kusikia Shetani akimpa maua yake Mwenyezi Mungu.
Inasikitisha Mkuu..... makolo wanaleta ubahiri Hadi kwenye investment za jezi[emoji23]Kweli jezi zao n mbaya an hamna ubunifu wowote
Wanafeli sasaHiki ndio tunataka wanasimba yaani Simba iwe mdomoni tu
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
It's true makolo wanabadili maandishi tu ya jersey..... mwaka jana kulikuwa na mo karanga.....Jezi za simba hazitakuja kua nzuri na hii ni kwasababu ya rangi yao na jinsi muundo wa jezi yao ulivyo. Ni nyekundu tupu, sasa rangi nyekundu hata manjonjo inakua kazi zaidi zaidi utaharibu.
Angalia wenzao Arsenal, Man u jezi zao ni nyekundu lakini miundo hubadilika kila siku. Simba ni kama jezi ile ile tu. Wakibadili kitu ndani ya jezi hata hakionekani kwa ufanisi.