Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Ukiangalia jezi za namumgo, Azam, Yanga na singida ni Jezi kali mno kuliko jezi za Kolo......
“Jezi bei ya jumla ni 32000 mnajua kwanini ? hiki ndio kinafanya watu wanavaa vitambaa vya timu zao na sio jezi , nikirudi nitawaambia haiwezekani jezi ukinunua unaambiwa hii usiifue “
Jezi za timu gani ukizifua imekula kwako ?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app