mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Sheria ya NBC Premier League ni kuwa kutatumika wachezaji 8 wa kigeni katika mchezo moja. Ndani ya Simba tunatarajia wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza 11st ni
Inonga,
Onyango,
Kanute,
Bwalya,
Chama
Sakho na
Kagere
Huku wazawa wakiwa ni Manula,
Kapombe,
Tshabalala,
Mkude
Ni wazi wachezaji wa kigeni watakao ingia wakitoka Benchi ni wawili tu ambapo kocha Pablo ataamua Kati ya Morrison, Lwanga, Mugalu, Wawa, Peter Banda ni yupi aingie.
Katika hali ya kawaida kocha angependelea Mara nyingi kutunza sub hizo za kimataifa na kumpa nafasi zaidi Banda, Morrison na Wawa kuliko straiker Mugalu.
Na ukiangalia Simba Kuna mastraika wa 3 hivyo ni wazi sub ya kuingiza straika itakuwa ni ya kumuingiza Bocco na si Mugalu
Hivyo Mugalu chakufanya apambane kurudi 11st kumreplace kagere na si kuwaza kupata nafasi ya kugain
What's Happen after those
Bocco akipata nafasi akafunga mechi mbili anarudi kawaida yake maaana hajaisha Ila ni fatique na kulose confidence yake