Uchambuzi kutokea CCM: Tundu Lissu mzaliwa wa upinzani

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
2,031
Reaction score
1,529
Ndugu wana-jf habarini za pirikapirika za uchaguzi kwa wanasiasa wote humu jukwaani.Upande wa Zanzibara mambo yamekwiva huku umwinyi ukijidhihiri wazi,watoto wa waliokuwa viongozi wanazidi kujitokeza kwa wingi wakiwa na uhakika wa kukingiwa kifua na wazazi wao,Ni sawa ngoja tutazame itakavyokuwa.Ya ngoswe tumuachie yeye.

Tukijigeuza kifikra upande wa Tanganyika kwetu siku ya leo jicho likitazama Singida tena ile ya mashariki haswa kutokea kijiji cha Mahame kwa Mzee Mghwai Lissu baba mzazi wa Mwanasheria maarufu Tundu Lissu.

Familia ya Lissu ni familia ya wasomi kweli kuanzia kaka mkubwa hadi Lissu mwenyewe, lissu kihistoria katika elimu aliwahi kuwa katika mtanziko jambo lililomfanya kutulia kitaani kwa muda na kuwa mwalimu wa muda shule ya upili ya bondeni pale Arusha.Mimi sijui alifundisha masomo gani ila kwa yule bwana alivyo lazima alifundisha Historia na Uraia(dah humo darasani sijui ilikuwaje).Baadae Lissu aliweza kufika chuo kikuu pale kitivo cha ma-nguin kusomea sheria na hakika amekuwa kisheriasheria tupu-sio jambo baya.

Tundu Lissu katika mapambano yake leo hii tumeona akiwa ameoa na ana watoto wawili,mke wake mwenyewe anaonekana ni hodari kweli kweli(samahani mh Lissu).Nina maana kuwa amesimama nawe ktk shida zote.Kitaaluma ni wakili na kwa jicho la kiutu uzima inaonekana Tundu Lissu alianza na Alice siku nyingi sana tangia masomoni huko. Lissu atatueleza siku moja maana si vibaya na alivyo na bahati akapata mapacha wawili wa kiume la hasha Lissu ana bahati sana.

Mnamo mwaka 1995 katika uchaguzi wa vyama vingi Lissu aligombea ubunge kupitia NCCR-Mageuzi akashindwa vibaya, siunajua tena enzi hizo alikuwa na miaka 27 tu kwa hivyo hakuwa na la kufanya bali kujifunza na kusonga mbele,pia Lissu kiuchumi hakuwa imara sana hivyo kibishi akasepa zake jiji kubwa kabla ya hili la sasa na kuendeleza shughuli zake kibishi akatusua kama wakili na kuanza harakati zake kivingine katika utawala wa mmiliki wa mgodi wa makaa ya mawe kwa wazee humu tunajua ni nani-hahahaha.

Ilipofika miaka ya 2000 mwanzoni Lissu alikuwa mbishi kweli kweli kwani aliongoza na kusimamia kesi nyingi sana.Sasa bwana Lissu huko kote hakuwa ccm tangu azaliwe na kwa hakika hili lilijionesha pale alipojiunga na CHADEMA kwa ushawishi wa bwana mkuu (eti sasa hivi wanamuita mzee wa bapa) hapana bana ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Ndg.Aikaeli.Tundu Lissu aliweza kusaidia sana chama chake kwa dhati huku akitoa watu wengi sana ktk mahabusu za mji wa Tarime, Polisi ilipata tabu sana, Mgodi ulilipa fidia mno, Chadema ikapata wafuasi sana,na Bob Wangwa akazidi kumeremeta zaidi.Kumbukeni hiyo ni 2004 kuelekea 2005. Lissu mzaliwa halisi wa upinzani akazidi kusonga mbele zaidi hadi 2010 alipotua tena kijijini kwao Mahame kugombea ubunge na akashinda kwa kishindo akitoa LEAT kama mwanasheria mbobezi na shahada ya uzamili kiunoni siunajua tena mambo ya usomi akaitumia kama kete basi mungu si JPM(Magufuli) Lissu akashinda bwana.Akawa mbunge machachari kweli kweli akaenda mbali zaid watu wakampa jina mzee wa MIGA duh bongo bana acha kabisa.

Baadae siku ya siku akapigwa risasi dah ilikuwa mshtuko sana, Lissu kutokana na kuwa mzawa wa upinzani kindakindaki akapelekwa Nairobi kisha mambele ubeligiji. Amepona na anonekana anaendeleza mapambano sasa.Kutokea huku CCM Lissu ni mtu sahihi kupambana na Magufuli kwani wote wanafanana ila mimi kwakuwa ni CCM Magufuli atashinda tu dah.Lissu anaweza kumpa nginjanginja Magu na akasanda kwahiyo kazi kwenu watu mbadala au kwa lugha mbaya wapinzani.

Nietafakari naona wakati wakati wa Lissu ni sasa, kwani 2025 Zitto atakuja,Lissu atakuwepo panapo nguvu za mungu bado watakaoibuka katikati hapo yani we acha tu.Tundu agombee sasa kwani 2025 upinzani unaweza kugawanyika kabisa kwani nimjuavyo Kabwe mmmh. hatokubali atataka yeye la si hivyo waanze kuungana mapema sana.

Nisiwafiche Lissu ni mwamba apewe apambane na Magu kwani yeye ni Mpinzani halisi asiye na mawaa, kazaliwa huko kakulia huko hivyo ataaminika kirahisi kuliko wengine kama Kabwe.
Ni maoni tu kutokea huku kwetu CCM,jana Magu kakataa matusi kwenye kampeni kwa hiyo njooni humu kwa hoja kwani matusi pia hayakubaliki.Hahahahah.Ila mimi nawafahamu BAVICHA hapa watachangia kistaarabu sana ngoja uone tu.
Jioni Njema.
 
Ndugu wana-jf habarini za pirikapirika za uchaguzi kwa wanasiasa wote humu jukwaani.Upande wa Zanzibara mambo yamekwiva huku umwinyi ukijidhihiri wazi,watoto wa waliokuwa viongozi wanazidi kujitokeza kwa wingi wakiwa na uhakika wa kukingiwa kifua na wazazi wao,Ni sawa ngoja tutazame itakavyokuwa.Ya ngoswe tumuachie yeye.

Tukijigeuza kifikra upande wa Tanganyika kwetu siku ya leo jicho likitazama Singida tena ile ya mashariki haswa kutokea kijiji cha Mahame kwa Mzee Mghwai Lissu baba mzazi wa Mwanasheria maarufu Tundu Lissu.

Familia ya Lissu ni familia ya wasomi kweli kuanzia kaka mkubwa hadi Lissu mwenyewe, lissu kihistoria katika elimu aliwahi kuwa katika mtanziko jambo lililomfanya kutulia kitaani kwa muda na kuwa mwalimu wa muda shule ya upili ya bondeni pale Arusha.Mimi sijui alifundisha masomo gani ila kwa yule bwana alivyo lazima alifundisha Historia na Uraia(dah humo darasani sijui ilikuwaje).Baadae Lissu aliweza kufika chuo kikuu pale kitivo cha ma-nguin kusomea sheria na hakika amekuwa kisheriasheria tupu-sio jambo baya.

Tundu Lissu katika mapambano yake leo hii tumeona akiwa ameoa na ana watoto wawili,mke wake mwenyewe anaonekana ni hodari kweli kweli(samahani mh Lissu).Nina maana kuwa amesimama nawe ktk shida zote.Kitaaluma ni wakili na kwa jicho la kiutu uzima inaonekana Tundu Lissu alianza na Alice siku nyingi sana tangia masomoni huko. Lissu atatueleza siku moja maana si vibaya na alivyo na bahati akapata mapacha wawili wa kiume la hasha Lissu ana bahati sana.

Mnamo mwaka 1995 katika uchaguzi wa vyama vingi Lissu aligombea ubunge kupitia NCCR-Mageuzi akashindwa vibaya, siunajua tena enzi hizo alikuwa na miaka 27 tu kwa hivyo hakuwa na la kufanya bali kujifunza na kusonga mbele,pia Lissu kiuchumi hakuwa imara sana hivyo kibishi akasepa zake jiji kubwa kabla ya hili la sasa na kuendeleza shughuli zake kibishi akatusua kama wakili na kuanza harakati zake kivingine katika utawala wa mmiliki wa mgodi wa makaa ya mawe kwa wazee humu tunajua ni nani-hahahaha.

Ilipofika miaka ya 2000 mwanzoni Lissu alikuwa mbishi kweli kweli kwani aliongoza na kusimamia kesi nyingi sana.Sasa bwana Lissu huko kote hakuwa ccm tangu azaliwe na kwa hakika hili lilijionesha pale alipojiunga na CHADEMA kwa ushawishi wa bwana mkuu (eti sasa hivi wanamuita mzee wa bapa) hapana bana ni Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Ndg.Aikaeli.Tundu Lissu aliweza kusaidia sana chama chake kwa dhati huku akitoa watu wengi sana ktk mahabusu za mji wa Tarime, Polisi ilipata tabu sana, Mgodi ulilipa fidia mno, Chadema ikapata wafuasi sana,na Bob Wangwa akazidi kumeremeta zaidi.Kumbukeni hiyo ni 2004 kuelekea 2005. Lissu mzaliwa halisi wa upinzani akazidi kusonga mbele zaidi hadi 2010 alipotua tena kijijini kwao Mahame kugombea ubunge na akashinda kwa kishindo akitoa LEAT kama mwanasheria mbobezi na shahada ya uzamili kiunoni siunajua tena mambo ya usomi akaitumia kama kete basi mungu si JPM(Rais Magufuli) Lissu akashinda bwana.Akawa mbunge machachari kweli kweli akaenda mbali zaid watu wakampa jina mzee wa MIGA duh bongo bana acha kabisa.

Una akili ila sielewi kwanini upo ccm.
 
Lissu ndo habari ya mujini... October usisahau kumwaga pombe na makomeo yake
 
.
FB_IMG_15917747988552743.jpg
 
mleta mada hilo jina la CCM UNALOTUMIA kwenye ID umelipia hati miliki wakati wewe sio CCM?
 
Lissu au Zitto kutoka upinzan tofauti nahapo sintopiga kura.Wakae wajadiliane asimame nani, lkn kwa 2020 asimame Lissu.
 
Kushiriki risasi zile kumekukosesha amani mpaka sasa. Ndiyo maana maandiko yanasema USISHIRIKI DHAMBI ZA WATU WENGINE.lakini nyie masikio ya kufa mna matatizo sana.mkiambiwa uwa mnauwa tu. Sasa hivi mnacheza Ngoma ya kuongezea mda hamjiulizi akifa hatakayekuja atakuwaje na mshaongeza muda?.au mtamuondolea na kifo ili aishi milele.
 
Hii comment yako kiukweli ina stahili um forwadie MBOWE maana ndio master mind wa ishu zote hata ya chacha wangwe
 
Jidanganye MUNGU ANAONA ALIYEWAZA NA KUPENDEKEZA WAZO NA MPAKA ALIYEWATUMA MUMUUWE LISU. Unajisikiaje sasa MUNGU kukataa mapango wenu. Au ndiyo unajitaidi umuuwe kwa maneno?. Damu za WATU zinawalilia mpaka zitakapopata HAKI
 
Back
Top Bottom