Uchambuzi: Kwanini hawa nyota wa Simba wameachwa

Uchambuzi: Kwanini hawa nyota wa Simba wameachwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kila siku humu JF tukiwaambia mbu mbu mbu kuwa wanakikosi tia maji tia maji wanabisha Sasa nadhani wameelewa ...Yanga imetoa wachezaji Saba dhidi ya 3 kutoka mbumbumbu FC imagine mzize, sure boy out

Majibu: kwanini kapombe na zimbwe hawajaitwa

1: Kapombe ni mzito sana kukaba kiasi Kwamba hutumia nguvu kubwa kukaba. Akikutana na wachezaji wepesi + speed hivyo kuileta hatari ya kuleta madhambi ambayo ni faida Kwa WAPINZANI ....mfano penalty

Reference
Rejea mechi ya Azam Kipre junior alichomfanyia Kapombe .....mikimbo ilimtesa Hadi nusura kupewa red card na kusababisa penalty.....hivyo hafai Kwa mabeki wa kisasa

Zimbwe junior

Huyu bado ana mengi ya kujifunza kwenye hii modern football Kwani bado anapungukiwa na vitu vingi mfno ball accuracy. Umakini .. .na vingine vingi akikutana na wachezaji wanaitumia akili mfano Aziz ki

References
Mechi ya Simba na Yanga

NB. Ubora wa Yanga umefanya kuitwa wachezaji wake wengi

Kwa wachezaji hawa taifa stars inaenda kushinda ushindi nzito

1678771697223.jpg
 
Kila siku humu JF tukiwaambia mbu mbu mbu kuwa wanakikosi tia maji tia maji wanabisha Sasa nadhani wameelewa ...Yanga imetoa wachezaji Saba dhidi ya 3 kutoka mbumbumbu FC imagine mzize, sure boy out...
Hao hao Wachezaji wa Simba unaowaona Hawajui ndio wamefanya icheze Champions League. Na hao Magarasa unaowaona wajuzi ndio wameipeleka Uto kwenye kombe la Loosers. Akili kichwani kila mtu ana zake
 
Hao hao Wachezaji wa Simba unaowaona Hawajui ndio wamefanya icheze Champions League. Na hao Magarasa unaowaona wajuzi ndio wameipeleka Uto kwenye kombe la Loosers. Akili kichwani kila mtu ana zake
Sasa kama point zote zimetoka Kwa kibonde vipers.....

Nadhani hapa umeprove kuwa kapombe .na zimbwe ni type ya wachezaji wa mechi kama za vipers
 
Ningependelea hata hao 3 wajitoe au watolewe na waongezwe wa Yanga halafu tuone mkienda kushinda hiyo mechi na Uganda ambao nategemea watakuwa na wachezaji wengi wa Vipers. Ni wakati wa kukata mzizi wa fitna.
 
Kwahiyo Umesahau kwamba Simba amecheza hatua ya Mtoano na Klabu za De Agosto, Big Bullets akazitupa nje. Mkiambiwa hamna akili mnanuna.
Ndugu mchambuzi unadhani ni kwa nini acheze na hizo timu hatua ya mtoano na siyo Al hilal?
 
Kwahiyo Umesahau kwamba Simba amecheza hatua ya Mtoano na Klabu za De Agosto, Big Bullets akazitupa nje. Mkiambiwa hamna akili mnanuna.
Mkuu...hizo ni timu za ushindani kweli at least hata ihefu
 
Ningependelea hata hao 3 wajitoe au watolewe na waongezwe wa Yanga halafu tuone mkienda kushinda hiyo mechi na Uganda ambao nategemea watakuwa na wachezaji wengi wa Vipers. Ni wakati wa kukata mzizi wa fitna.
Ha haa ....Kwa vile tu diara sio mtz.... that's y manula ameonekana kuwa wa muhimu
 
NB. Ubora wa Yanga umefanya kuitwa wachezaji wake wengi
Simba ina professional players wazuri kuliko wazawa, Yanga ni kinyume chake, wazawa ni wazuri kuliko wageni. Kumbuka timu ya taifa lazima iundwe na wazawa tu. Ndio maana Bangala haaminiwi na Nabi mbele ya Mudathir, na Aziz Ki haaminiwi na Nabi mbele ya Feisal
 
... tena Vipers ambayo ilitupiga 2-0 kwa Mkapa, na ikaiondoa TP Mazembe kwenye Klabu Bingwa na kusababisha ikashiriki kombe la losers huko sijui wapi
Mkuu tuombe mungu...simba .hapa hatuna timu
 
Back
Top Bottom