Uchambuzi: Kwanini hawa nyota wa Simba wameachwa

lakini na sisi tuna mlima mbele ya Monastir, au hawatatoka? Ukizingatia kwamba mechi ya mwisho tunamfuata TP Mazembe, na ana hasira na sisi
Kwa mkapa hatoki mtu ......ila to MAZEMBE hata tukimwachia mechi ya mwisho siyo mbaya
 
Ingawa watakupinga, ila kama umetumia kipimo cha ile mechi kati ya simba na Azam; aisee yule Kipre Junior aliwachezesha kwata hao mabeki wawili!!

Maana kama isingekuwa maamuzi ya kutatanisha, ile siku kulikuwa na kadi nyekundu moja! Na pia faulo ya huyo Shomari Kapombe, nje kidogo ya 18.
 
Kapombe aliotumia nguvu nyingi akili kisoda .....Kwa mtoto mdg
 
Hao hao Wachezaji wa Simba unaowaona Hawajui ndio wamefanya icheze Champions League. Na hao Magarasa unaowaona wajuzi ndio wameipeleka Uto kwenye kombe la Loosers. Akili kichwani kila mtu ana zake
Simba ilikutana na Al hilal au gwambina ya Angola na Malawi!?
 
Kwahiyo Umesahau kwamba Simba amecheza hatua ya Mtoano na Klabu za De Agosto, Big Bullets akazitupa nje. Mkiambiwa hamna akili mnanuna.
Wewe kweli ni empty brain, kwaiyo de agosto na big bullets nazo unaziesabu ni timu za maana, angalia timu ulizokutana nazo mpaka unafika hapo ulipo ndio ujitathmini na kikosi chako, de agosto na big bullet ni sawa na Ruvu shooting au mtibwa sugar tu kwa namna vikosi vyao vilivyo kwaiyo uwezi kujisifu eti kwa kuwa ulizitoa zile timu ndio uko vizuri ni kujidanganya
 
lakini na sisi tuna mlima mbele ya Monastir, au hawatatoka? Ukizingatia kwamba mechi ya mwisho tunamfuata TP Mazembe, na ana hasira na sisi
Mazembe wakipigwa kule kule kwao mada itabadilika, utaokoteza vimaneno vingine vya kijinga na kuvileta hapa, nyie pimbi wa umbumbuni mna shida kubwa sana
 
Mazembe wakipigwa kule kule kwao mada itabadilika, utaokoteza vimaneno vingine vya kijinga na kuvileta hapa, nyie pimbi wa umbumbuni mna shida kubwa sana
Si hadi wapigwe sasa! 😁😁😁
 
Mkuu hata mtibwa sugar ni Bora kuliko hizo timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…