UCHAMBUZI: Kwanini ni vigumu sana kumzima The Bongofleva Music Trade Mark "Diamond Platnumz"?

UCHAMBUZI: Kwanini ni vigumu sana kumzima The Bongofleva Music Trade Mark "Diamond Platnumz"?

Diamond ndio mtanzania alieandikwa sana magazetini na kwenye mitandao. Diamond Platnumz ndio mwana East Africa pekee aliepigwa picha na video nyingi kuliko mtu yeyote yule!!
 
Haya ni machache kati ya alofanya Platnum.
The boy from Tandale is Genious and game changer😎
 
Dogo kakusanya Nyoota za wasanii maarufu woote wa kabla na baada yake.
Ni mchawi tu kama walivyo wachawi wenzake wa Nigeria.
 
Back
Top Bottom