Uchambuzi: Kwanini Simba atapigwa 5+ na Wydad leo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo;

1. Simba wana uhitaji na matokeo, ila wydad Casablanca wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo.

3. Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha.

Mwisho matokeo ni: Wydad Casablanca 5.....1

 
Wao wako busy na Gamondo Pacome.....ndio guraha yao msimu huu....
 
yangaaaaa inalillahi wainailaihi rajiun
pole sana hii ndio champion jaman tuliwaambia mkashupaza shingooo!
 
Mimi Yanga lkn Simba anaweza kufanya vizuri pamoja na whydad kufungwa mechi 2 mfululizo .

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.
Ndugu mchambuzi kwa nini usichambue kilichoibakisha Yanga mkiani huko group D la CAFCL?

Yanga imekutana jana na vibonde Medeama ktk uwanja ambao hakuna hata mashabiki wa kuwapigia kelele washindwe mechi.

Komaa na Yanga yako ihame mkiani ndugu mchambuzi maana hata mbuzi ana mkia na Yanga wapo mkiani kwa sababu wanapenda supu ya mkia Uto wahed 😁 😁
 
Unajitekenya mwenyewe alafu unacheka mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Simba Guvu Moja 😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…