Uchambuzi: Kwanini Simba atapigwa 5+ na Wydad leo

Ukweli ni kwamba Simba wanakuaga na bahati tu wakiwa viwanja vya warabu. Jamaa hua wanakosa magpli mengi ya wazi. Naamini wydad wakiwa na utulivu wa kutosha Leo ushindi kwao lazima
Kabisa Mkuu ngoja muda ufike
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo;

1. Simba wana uhitaji na matokeo, ila wydad Casablanca wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo.

3. Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha.

Mwisho matokeo ni: Wydad Casablanca 5.....1

View attachment 2837320
Hii anaiweza tu nwananchi,wydad bao washing kivyao🤪
 
Najua ni ugeni na ulimbukeni kwenye haya mashindano ndiyo unawasumbua mnaazisha mada za kitoto, mkiyazoea threads kama hizi hazitakuwepo tena humu.
 
Baada ya kuwa na uzoefu mkubwa wa michuano hii ya CAF champions hiki ndicho kinachoenda kutokea Leo kati ya Simba na wydad Casablanca.

Simba anaenda kula 5+ ( means na kuendelea) Kwa sababu zifuatazo;

1. Simba wana uhitaji na matokeo, ila wydad Casablanca wana uhitaji zaidi kulingana na ukubwa wa timu hiyo.

3. Simba ugenini hasa Kwa waarabu Huwa Wana High inferiority complex hii itasababisha Washinde ku relax na kufanya makosa ambayo yatawagharimu.

2. Pressure itakuwa kubwa baina timu 2 then simba watashindwa kuhimili kutokana na kuwa na wachezaji wazee Simba watajikuta wanaruhusu goli za kutosha.

Mwisho matokeo ni: Wydad Casablanca 5.....1

View attachment 2837320
Muwe mnachambua hata kisamvu muwasaidie wake zenu.
 
Simba ilishajitafuta na kujipata away games dhidi ya waarabu. Mambo ya 5 sahauni utopwix
 
Embu futa hilo moja ulilowapa Simba, leo taifa linaenda kutia aibu nzito.
 
Back
Top Bottom