Uchambuzi: kwanini Simba ni ngumu kutoboa Kwa waarabu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Uchambuzi wangu

Linapokuja suala la kucheza na waarabu ndugu zangu Wana msimbazi hata wawe vizuri vipi wakiwaona tu waarabu.....ndugu zangu ayubu fc wanapoteana uwanjani.....ukileta mechi ambayo Simba amewahi watwanga waarabu ( achana na kina horoya fc, vipers....hawa sio waarabu nami nitakupa mwaka ambao taifa stars itashinda world cup

Hizi ni baadhi ya sababu za Simba kuonewa na waarabu

1.Inferiority complex ya wachezaji wa makolo,.....wakiona tu waarabu inakua sawa na student kumuona mwalimu wake wa mathe...... tofauti na Yanga ambao wanawatwanga waarabu kwao

2. wachezaji wabovu, imagine una wachezaji kina baleke na saido ....pamoja na kuwa top scorer lakini hakuwa na goal hata la off-side kule mjini CAF......ila wakikutana na kina majimaji, horoya, vipers wanageuka kuwa kina Messi[emoji1][emoji1]

Point of reference

Yanga wenzetu wanawatwanga waarabu Hadi kwao .....kwanini isiwe kwetu sisi ayubu fc
 
Zamalek hajawahi tolewa na simba akiwa kwao? Tena msimu ambao zamalek akiwa champion wa afrika
 
Upo sahihi bwana Kabwiiiii
 
Zamalek hajawahi tolewa na simba akiwa kwao? Tena msimu ambao zamalek akiwa champion wa afrika
Zamani sana .....enzi hizo off-side zilikuwa goal harali
 
Pole kwa kuporomoshewa mvua ya matusi na vijana wa Rage. Umeyataka mwenyewe. Maana unawafahamu wasivyo na uvumilivu.
 
Looser 🐸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…