idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Ukiwaza sana lazima mwisho ukumbuke haya ni maigizo tu[emoji848]Najiuliza kama Gandia alikua panic room na professor alijulishwa na Antonniaz, sasa kwanini asinge waambia watu wake waongozane na governor akawaoneshe hiyo panic room ilipo kama walikua hawapajui..kwa kweli hapa professor aliyumba
Sent using Jamii Forums mobile app