UCHAMBUZI: La Casa De Papel (Money Heist) S04

Ukiwaza sana lazima mwisho ukumbuke haya ni maigizo tu[emoji848]
 
Governor asingesema kabisa, yupo royal sana maana hata code za bank kufungua sefu ya zile.confidential document aligoma kuitaja

vannisterooy
 
Governor ni mtu wa principle sana asingekubali, na Professor analijua hilo maana alimsoma (rejea season 3) So akaona ni heri apoteze muda mwenyewe kuitafuta kuliko kupotezewa muda na mtu anayejua hataweza kusema.
 
Mwanamama mjanjajanja Alice ametimba kambini kwa Profesa na Mimba yake Sijui kitatokea nini.

Imeniuma Nairobi Kufariki...
Prof. pale aliniangusha, alikamatwa kiboya sana, alikwenda kwa yule Askari waliyemnunua na hakufikilia kuhusu CCTV camera..alishindwa kufukia baadhi ya njia zake, ila nadhan katika season 5 lazima alikuwa na Plan ikiwa akakamatwa eneo lile..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kwanza nipo Season 1 episode ya 2.
Kwa haraka haraka huyu professor ni genius aisee!

Jamaa ana mipango mingi kama Michael Scofield.
.....
Ni character gani umemkubali zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…