Uchambuzi: Magoli ya Simba ni ya bahati, bado ni mbovu

Wivu tu, ulitaka wafungaje? Chura ni chura tu, kichwani hamna kitu
 
Achana na kitu inaitwa bahati kwenye maisha... ndio inayokutofautisha wewe na bharesa. Kama huamini anzisha biashara ya kuuza barafu ili uwe tajiri kama yeye
 
Kwa mechi ya jana ilivyo chezwa kwa wale walio angalia ata kama Simba ingefungwa tano asinge sha ngaa.
Kila kitu kilikua wazi ila mipira ili kataa kuingia wavuni.
Simba wajipange, bahati ya kunusurika kutandikwa goli tano haiji mara mbili.
Goli tano na kuendelea zinawezekana
Pale Cairo, Simba wawe makini Ahly kushinda goli 5 zipo ndani ya uwezo wao.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Achana na kitu inaitwa bahati kwenye maisha... ndio inayokutofautisha wewe na bharesa. Kama huamini anzisha biashara ya kuuza barafu ili uwe tajiri kama yeye
Siwezi mfikia mkuu
 
Football is all about results not about performance big coach in the world know how to win big games without playing beautiful football grow up man simba played well against kaizer chief in champions league but we all remember who won the game that day football is about tactics nowadays possession football is old fashioned style and many team accustomed using it they achieved nothing in international competition look at mamelody sundowns despite their beautiful game but they always suffer in Caf champions league football is a game of tactics.
 
dada mleta mada ipo hivi, unapokuwa unapigwa bao wakati wa kufanya mapenzi, haijalishi aliyekupiga bao ni dereva bodaboda au afisa wa bank. bao ni bao tu, vingine mbwembwe.
 
Tatizo la mashabiki wa yanga mnahesabu mpaka kosa kosa kwani simba hajakosa goal dakika 90 kosa kosa ni kawaida.
 
Timu mbovu sana hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…