Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha ukuni wa ilanfya unakusumbua😁Ndio nn mkuu
Wivu tu, ulitaka wafungaje? Chura ni chura tu, kichwani hamna kituLeo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Achana na kitu inaitwa bahati kwenye maisha... ndio inayokutofautisha wewe na bharesa. Kama huamini anzisha biashara ya kuuza barafu ili uwe tajiri kama yeyeLeo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Walikuwa wanajitabiria wenyewe bweha hawa.Awakulala na bado wanamaumivu makubwa.maana maombi yao ya Simba kufungwa saba mungu katupilia mbali shauri lao[emoji23][emoji28]
Football is all about results not about performance big coach in the world know how to win big games without playing beautiful football grow up man simba played well against kaizer chief in champions league but we all remember who won the game that day football is about tactics nowadays possession football is old fashioned style and many team accustomed using it they achieved nothing in international competition look at mamelody sundowns despite their beautiful game but they always suffer in Caf champions league football is a game of tactics.Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Tatizo la mashabiki wa yanga mnahesabu mpaka kosa kosa kwani simba hajakosa goal dakika 90 kosa kosa ni kawaida.Kwa mechi ya jana ilivyo chezwa kwa wale walio angalia ata kama Simba ingefungwa tano asinge sha ngaa.
Kila kitu kilikua wazi ila mipira ili kataa kuingia wavuni.
Simba wajipange, bahati ya kunusurika kutandikwa goli tano haiji mara mbili.
Goli tano na kuendelea zinawezekana
Pale Cairo, Simba wawe makini Ahly kushinda goli 5 zipo ndani ya uwezo wao.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Umekubali kuupokea ulimbo wa ilanfya?Subiriini j4..... waarabu watawapelekea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] tt
Magoli huku yaona,,,,ulikua unasinzia😂😅Tulihitaji magoli mkuu ....sio kugongesha miamba[emoji23][emoji23]
Timu mbovu sana hiyo.Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Mogoli ya build up kama haya.Hapana mkuu...... magoli kama Yale inajulikana ni bahati tu .....ogopa magoli kama Yale ya Al ahly.....unaona kabisa build up ya timu kwenda kushambulia na kupata goli
Tofauti na Simba ......