Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Ukuta si huuππππMmefungwa goli laini ....jengeni ukuta
Ah ule mkombora hata mimi mwenyewe ningeshangaa kama ungeuona ulipenya kwenye ngome yenu ndani ndani kabisaπππSijauona mkuu
Ulitaka tushinde kama hivi,angalau ungefurahi?Draw nyumbani mnafurahia???
Mnateseka sana ngojeni mtokwe bawasiri siyo kwa stress hizi mnazojitakiaLeo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Ukiumbuka chutama.. Ukiongea unazidi kujidhalilisha labda tu kwa kukubali umepotoka!Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Magoli ya bahati yasingemfanya Wenger kutoa "standing ovation" (heshima kwa mtu kufanya au kusema kitu bora cha kipekee). Kama umewasikiliza wachezaji nguli wa zamani leo hapo AZAM TV usingethubutu kusema hivyo!!Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7
Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)
But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei
NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Wao walifungwa na timu iliyoko mkiani ligi kuu Ihefu!! wanal;ia wivu hao!!Wivu tu, ulitaka wafungaje? Chura ni chura tu, kichwani hamna kitu
plan gani ya kumpiga kipa wa Ihefu na makopo ya majiπ πYanga Ili lose game na ihefu kwa plan
ukuta unaopitika mpaka na kina ilanfya wa ihefu! Labda kama kutakuwa na mabadiliko ya kiuchezajiKwa utaalamu wangu .... kidogo Yanga Wana ukuta yericko wa kuizuia Al ahly