Uchambuzi: Magoli ya Simba ni ya bahati, bado ni mbovu

Mmefungwa goli laini ....jengeni ukuta
Ukuta si huu👇🏃🏃🏃
images (4).jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
dada mleta mada ipo hivi, unapokuwa unapigwa bao wakati wa kufanya mapenzi, haijalishi aliyekupiga bao ni dereva bodaboda au afisa wa bank. bao ni bao tu, mengine mbwembwe.
Naona wanasimba tunafurahia sare nyumbani
 
🤣🤣🤣 Hukuona Header ile naona umeiruka hujasema kama ni ya bahati mbaya
 
Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7

Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)

But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei

NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Mnateseka sana ngojeni mtokwe bawasiri siyo kwa stress hizi mnazojitakia
 
Ukiumbuka chutama.. Ukiongea unazidi kujidhalilisha labda tu kwa kukubali umepotoka!
Linganisha post yako hii ni zile nyingi kabla ya mechi. Ni mbingu za ardhi.. Mpira ni magoli sio chenga! Uchambuzi wowote baada ya mechi kwa mtu alikuwa biased na kila aina ya kejeli unabaki kuwa uchambuzi wa kipuuzi na kujifariji
Ningekuwa mimi ninepiga kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7

Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)

But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei

NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941

Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Magoli ya bahati yasingemfanya Wenger kutoa "standing ovation" (heshima kwa mtu kufanya au kusema kitu bora cha kipekee). Kama umewasikiliza wachezaji nguli wa zamani leo hapo AZAM TV usingethubutu kusema hivyo!!
 
Back
Top Bottom