Uchambuzi: Magoli ya Simba ni ya bahati, bado ni mbovu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Leo nmerudia kutazama mechi ya Al ahly na Simba kwanza niwapongeze Wana Simba Kwa kuhimili mikikimikiki ya waarabu japo wangekua makini Al ahly wangeshinda goal 7

Back to the topic
Magoli waliyofanikiwa kuyapata Simba hayakuwa technical (kiufundi) ni magoli ya bahati kiasi Kwamba inakuwa ngumu kuwa judge Simba kuwa wamecheza vizuri .... mfano rejea goal la kwanza la Al ahly unaona kabisa Kuna build up ya kikosi kwenda kufunga ( that's technical goals)

But goals za simba zilikuwa za ndondokela ( bahati ) since hauoni jitihada zozote za kufunga....mfano kanoute mwenye hakujua kuwa kafunga anashtuka tu watu wanashangilia nae analiunga so japo huu ni kama ushindi wa Simba....japo Kwa sisi professional wa soccer tunajua kua Simba habari yao kwishnei

NB: yawezekana uchambuzi wangu hapa jf ulimsaidia robertinho kufungwa goals chache ..badala ya 7..japo alizingua kumuingiza bishoo ( onana)
Wana jf nipeni maua yangu
1697865285630.jpg
 
Wana jf nipeni maua yanguView attachment 2787941
Una akili za nguruwe hujui mpira wewe infact kwa yale magoli tutaogopwa sana na opponents wetu wa group stage
 
Hapana mkuu...... magoli kama Yale inajulikana ni bahati tu .....ogopa magoli kama Yale ya Al ahly.....unaona kabisa build up ya timu kwenda kushambulia na kupata goli

Tofauti na Simba ......
 
Back
Top Bottom