Uchambuzi Mahsusi wa Julius Mtatiro (Wakili) na Ally Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS

Uchambuzi Mahsusi wa Julius Mtatiro (Wakili) na Ally Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS

Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS
mkubwa wa taaluma ya sheria katika eneo la biashara, ajira na mahusiano kazini. +255787630150 (kileoally@yahoo.com).​
Si ni huyo mtatiro aliyekimbia chama chake?

Na yeye si yupo upande wa serikali atawezaje kumuunga mkono MWABUKUSI.
 
Mtatiro sijawahi muona akisimamia hata kesi ya kuku.
 
Mimi ni mwanasheria. Ila kwa uchambuzi huu. Mdomo koma!
 
Ya Kishamba na Kienyeji sana
Mtatilo amenisikitisha sana! Hv na yeye ni mpiga Kura? Kwa mada hii tu hastahili kuingia kwenye ukumbi wa kupigia kura. Mada hz tulitakiwa kuandika ss tusiopiga kura. Ameonesha na kushawishi mwelekeo. Kwa kifupi huyo mwanaccm hapati. Tembezeni Mpunga wenu kama kawaida yenu. "Inatokana na nani anahesabu kura na kutangaza" voice of somebody.
 
TLS chini ya Tundu Lisu ilipata hasara gani? Kama hakuna basi Mwambukusi anatufaa sana.
 
Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS
Watsingi mkubwa wa taaluma ya sheria katika eneo la biashara, ajira na mahusiano kazini. +255787630150 (kileoally@yahoo.com).
Mimi sioni uchambuzi wowote hapa, ila kampeni ya hawa mawakili wasomi wawili kwa wakili msomi Nkuba dhidi ya wakili msomi Mwabukusi. Uchambuzi ungejikita kwenye role ya TLS na pia kuonyesha mazuri ambayo yameshafanyika na changamoto zilizopo na appeal kwamba TLS inahitaji kiongozi atakayeendeleza hayo mazuri na kuyaboresha na pia kusaidia kuleta utatuzi wa changamoto zilizopo. Pili, TLS inahitaji kiongozi atakayesaidia kuleta utawala bora wa sheria nchini na kuhakikisha mihimili ya serikali inakuwa huru zaidi kutekeleza wajibu wake ipasavyo, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wakati na kutetea haki za raia pale zinapovunjwa.

Then, wasomi hao wangeonyesha 'what TLS is' and 'what it ought to be' na kutaja sifa za kuwa 'prezida' wa TLS na makamu wake na kuwaachia members wa TLS wenyewe kuchagua nani kati ya mawakili wasomi wagombea (SITA) anawafaa zaidi baada ya kusikiliza sera zao, lakini siyo kuwachagulia anayefaa zaidi kati ya hao wawili. Kufanya hivyo siyo uchambuzi, bali ni kampeni. Mtu asiyejua maana ya uchambuzi au hajawahi kuchambua ndiye anayeweza kuona kama huu ni uchambuzi. Lakini in the real sense siyo kabisa!
 
Kwa muda niliotumia kufuatilia masuala ya TLS... Nadiriki kusema kwamba uchawa ni sumu ya weledi!
Mawakili, walimu na makandarasi ni laana kwa Taifa hili!
 
Timu Nkunda!!

Tumewasikia japo msingepoteza muda mwingi kuzungukazunguka!! Lilikuwa ni jambo la Sentensi Moja tu kwamba mnampigia debe Kachero mbobevu Wakili Nkunda
Kachero ?😁😁😁

Teeeth ?
 
TLS ni Chama cha kitaaluma kinahitaji Rais mtendaji, mweledi, mtulivu, mwenye uwezo wa kushawishi wadau wote wa sheria ndani ya nchi, mwenye maono yanayoweza kutekelezeka bila papara. Atakayeweza kuwaunganisha mawakili wote, atakayekua kiungo muhimu kati ya TLS na mdau mkuu ambaye ni Serikali, na ambaye hatogeuka kuwa “msanii na mpiga kelele”, kueneza chuki kwa misingi ya uanaharakati, utofauti wa ufuasi wa vyama vya siasa, mihemko na jazba.
Nilijuwa tu mapema kabisa; mtu kama Mtatilo ni chawa tu hana lingine zaidi ya hapo.
"Mdau mkuu wa TLS ni serikali"?
Kwanza andiko lenyewe lina chosha sana kusoma hili. Maneno meeeeengi huku hakuna lolote linaloelezwa lieleweke vizuri na msomaji.

Hawa watu wengine sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi!

Huu ni uchambuzi, au ni upiga kampeni kwa mtu wanayemtaka wao hawa wanao jiita wachambuzi mbuzi hawa?

Sikutaka kuendelea mbele na andiko la hovyo kama hili.
 
Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi Wakili msomi kwa kifupi hujiita BAK Mwabukusi

Jina la Kajunjumele kalitoa wapi?

Kwenu Askofu Mwamakula na Erythrocyte kwa Ufafanuzi

NB: Waraka wa Wakili msomi Na Mkuu wa Wilaya ya Simiyu mh Julius Mtatiro imenifanya nitake kumfahamu zaidi huyu BAK Mwabukusi
 
Huyu ni raia wa Malawi, sasa sijui kama alishaukana uraia wake.

Naona unataka kuifunua ID ya mtu hapa JF, nimekaa pale nakuangalia, utakula ban muda si mrefu, tuliosoma Bogota, Colombia tumekusoma
 
Machifu wengi wa maeneo ya mipakani wao wanatawala kote,hawaangalii mipaka,Chifu anaweza kuwa Mndali lakini akawa upande wa Malawi lakini na upande wa Ileje nako anatawala
 
Acha uchochezi bwashee wewe kaa hapo wanging'ombe kula chibuku utulie. Usianze kufuatilia chimbuko la mtu maana wewe hata sio wa wanging'ombe.
 
Back
Top Bottom