Si ni huyo mtatiro aliyekimbia chama chake?Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS
mkubwa wa taaluma ya sheria katika eneo la biashara, ajira na mahusiano kazini. +255787630150 (kileoally@yahoo.com).
Timu Nkunda!!Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS
Timu Nkunda!!Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS
Kama kawaida yako ndugu bagamoyo , kutoka maktaba.
Ya Kishamba na Kienyeji sanaHii mbona ni kama propaganda na kampeni
Mtatilo amenisikitisha sana! Hv na yeye ni mpiga Kura? Kwa mada hii tu hastahili kuingia kwenye ukumbi wa kupigia kura. Mada hz tulitakiwa kuandika ss tusiopiga kura. Ameonesha na kushawishi mwelekeo. Kwa kifupi huyo mwanaccm hapati. Tembezeni Mpunga wenu kama kawaida yenu. "Inatokana na nani anahesabu kura na kutangaza" voice of somebody.Ya Kishamba na Kienyeji sana
Mimi sioni uchambuzi wowote hapa, ila kampeni ya hawa mawakili wasomi wawili kwa wakili msomi Nkuba dhidi ya wakili msomi Mwabukusi. Uchambuzi ungejikita kwenye role ya TLS na pia kuonyesha mazuri ambayo yameshafanyika na changamoto zilizopo na appeal kwamba TLS inahitaji kiongozi atakayeendeleza hayo mazuri na kuyaboresha na pia kusaidia kuleta utatuzi wa changamoto zilizopo. Pili, TLS inahitaji kiongozi atakayesaidia kuleta utawala bora wa sheria nchini na kuhakikisha mihimili ya serikali inakuwa huru zaidi kutekeleza wajibu wake ipasavyo, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wakati na kutetea haki za raia pale zinapovunjwa.Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS
Watsingi mkubwa wa taaluma ya sheria katika eneo la biashara, ajira na mahusiano kazini. +255787630150 (kileoally@yahoo.com).
Naungana na wewe mkuuNikiacha Kila kitu Pembeni na Kuacha Unafiki NKuba ana uwezo mkubwa sana wa Kuchambua mambo na kuyaelezea kwa upana ila tukija kwenye Utetezi wa Rasilimali na Harakati Mwabukusi ni bora kuliko wote
Kachero ?😁😁😁Timu Nkunda!!
Tumewasikia japo msingepoteza muda mwingi kuzungukazunguka!! Lilikuwa ni jambo la Sentensi Moja tu kwamba mnampigia debe Kachero mbobevu Wakili Nkunda
Mtatiro sijawahi muona akisimamia hata kesi ya kuku.
Nilijuwa tu mapema kabisa; mtu kama Mtatilo ni chawa tu hana lingine zaidi ya hapo.TLS ni Chama cha kitaaluma kinahitaji Rais mtendaji, mweledi, mtulivu, mwenye uwezo wa kushawishi wadau wote wa sheria ndani ya nchi, mwenye maono yanayoweza kutekelezeka bila papara. Atakayeweza kuwaunganisha mawakili wote, atakayekua kiungo muhimu kati ya TLS na mdau mkuu ambaye ni Serikali, na ambaye hatogeuka kuwa “msanii na mpiga kelele”, kueneza chuki kwa misingi ya uanaharakati, utofauti wa ufuasi wa vyama vya siasa, mihemko na jazba.