Uchambuzi Mahsusi wa Julius Mtatiro (Wakili) na Ally Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS

Nikiacha Kila kitu Pembeni na Kuacha Unafiki NKuba ana uwezo mkubwa sana wa Kuchambua mambo na kuyaelezea kwa upana ila tukija kwenye Utetezi wa Rasilimali na Harakati Mwabukusi ni bora kuliko wote
Ndiye anayetakiwa! Atete rasilimali zinazoteketea
 
Mnajaza server
kuna wengine hawapashwi kuzungumza who is Julius?
Mnapiga kampeni kimtindo

Ni Mwabukusi tu huyo sijui Nku nani hana sifa hata moja ni mbwembwe tu
 
Timu Nkunda!!

Tumewasikia japo msingepoteza muda mwingi kuzungukazunguka!! Lilikuwa ni jambo la Sentensi Moja tu kwamba mnampigia debe Kachero mbobevu Wakili Nkunda
Hatumtaki tunataka mtu wa kusimamia rasilimali za nchi na siyo maslahi ya CCM
 
Mawakili Maruhani Mamluki wajaribu kupenyezwa dakika za majeruhi wapige kura

Wakili Peter Madeleka afafanua jinsi mbinu hiyo inavyoweza kutumiwa :

WAKILI MADELEKA AKINUKISHA | MAMLUKI KWENYE UCHAGUZI WA TLS | BALAA ZITO MAHAKIMU, WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WA WILAYA - DED WATUMWA KUPIGA KURA



View: https://m.youtube.com/watch?v=oksOVqVXClI
 
Mkuu pamoja na maelezo yako ,mwisho uneonyesha wewe kama wewe ulikuwa unapiga kampeni, na hivyo kuonekana upo upande gani. Waachie wapiga kura waamue.
 
Name calling hairuhusiwi katika policy za JF.
 
Huyu ni raia wa Malawi, sasa sijui kama alishaukana uraia wake.

Naona unataka kuifunua ID ya mtu hapa JF, nimekaa pale nakuangalia, utakula ban muda si mrefu, tuliosoma Bogota, Colombia tumekusoma
Tukianza kufunua uraia halisi kuna hadi Banyamulenge na Wahutu serikalini.
 
01 August 2024
Dodoma, Tanzania

MKUTANO MKUU WA TLS MJINI DODOMA, YANAYOJIRI KWA WAGOMBEA URAIS TLS

Boniface Mwabukusi apigwa swali zito na Senior counsel Alute Mughwai learned Advocate, ambaye ni kaka yake wakili msomi Tundu Lissu...


View: https://m.youtube.com/watch?v=cwwaeW0Os9o
Ukumbi wazizima mjini Dodoma Tanzania katika mkutano mkuu wa TLS ambapo wanachama wake watapata fursa kuchagua rais wa TLS atakaye ongoza kwa miaka 3 baada ya mabadiliko ya katiba ya TLS ilivyokuwa inatoa mwaka mmoja tu kwa rais kuongoza chama hicho cha Mawakili Tanganyika ....
 
Yaani sisi waafrika ni watu wa hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…