UCHAMBUZI: Maneno ya matusi yatafanya wimbo wa Ben Pol ufungiwe?

Kwenye mahojiano anasema eti mashabiki hatujui maana ya sanaa huyu Ben Shoga, hivi mwanaume kuonyesha msambwanda nayo ni sanaa? Eti rayyoungr una maoni gani?
Huenda akawa amefanya mistake, kwasababu yeye ni mgeni kwenye hizi ishu za kutafuta kiki ya kutolea wimbo.
So ndio mwanzo wa kujifunza
 
Mkuu me naona ishu ya kuruhusiwa kuproduce dirty version ni sawa lakini kwa tamaduni zetu sheria ya kuruhusu zipiga hadharani haitafanikiwa, unaeza kuta huyo kijana anaipiga hiyo version hata kwenye daladala tu.
 
Dirty version iwe kwa matumizi binafsi... Na itolewe version ya Clean, kwaajili ya kuchezwa kwenye mass media
 
huyu nae anapenda matak.ooo!
kaanza kuyaonyesha sa hizi anayaandika!
psyuuu!
 
Je kama kajipaka mwenyewe? Au kama kapakwa na mademu?
Hata kama kapakwa na mama ake....Mwanaume ni mwiko mtu mwingine kukupaka mafuta kwenye makalio alafu kutupigia na picha tuone makalio yako yalivyokolea mafuta.

Mwambie wananchi wamechukia na asirudie tena upuuzi wake.
 
Sijaiona picha inayoonesha matak.o ya Ben, hebu kama unayo please iweke hapa
 
Tackle for sale
 
Sijaiona picha inayoonesha matak.o ya Ben, hebu kama unayo please iweke hapa
hata mini nataka niione hiyo picha. Inawezekama labda mini nina makengeza huwa sioni vizuri
 
huyu nae anapenda matak.ooo!
kaanza kuyaonyesha sa hizi anayaandika!
psyuuu!
Makalio ya jinsia tofauti huwa yanapendwa sana na almost kila mwanaume...
 
Nyimbo nyingi za wasanii wa kibongo zimejaa matusi ya waziwazi, mfano na ule wimbo wa "" baba ...baba..huyoo!!! ale baba huyoo!! nadhani haya ni matokeo ya wasanii wengi wana asili ya pwani/ uzaramoni na wengine wageni wameiga mfumo wa nyimbo zao za mchiriku ambao umejaa mafumbo ya wazi ambayo inaleyta tafsiri mbaya moja moja kwa jamiii
 
Una rambooo,,, mi nna muwa.....
ale utam kolea prokoto ting'ali ting'ali ndani kwa moto... N.K...
 
na wew umetafsiri kivyako na lugha zako za mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…