UCHAMBUZI: Maneno ya matusi yatafanya wimbo wa Ben Pol ufungiwe?

Uko wapi wimbo wenyewe sasa!! Weka hapa!
 
Wewe ni mchambuzi wa nyimbo zote za bongo au?

Maana kama ni hivyo, kuanzia nyimbo za kitambo za kina prof j hazifai. Kama ile inayoitwa nipoze moyo.

Hata za kipindi hiki pia. Nyimbo nyingi ukizitafsiri, ni matusi matupu.

Kutumia tafsida ndo Sanaa yenyewe

Avha roho ya husda
 
Tatizo huko BASATA wamekaa wazee tu..sanaa wanayojua ni ngoma za kienyeji
 
Ben Paulo anaelekea wapi?
HUKO NYUMA HAKUWA HIVO!
 
Nioneshe husda ipo wapi?? Umeyasoma maoni yangu vizuri?
 
Explicit version/dirty version mara nyingi huachiwa kimtaa sana na mtandaoni pia.. Clean version au radio edit hizi ndio zinazochezwa radioni zinakuwa ziko edited
 
Explicit version/dirty version mara nyingi huachiwa kimtaa sana na mtandaoni pia.. Clean version au radio edit hizi ndio zinazochezwa radioni zinakuwa ziko edited
Kweli kabisa... Atleast wewe unauelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…