Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana[emoji2]ndio nmekaa hapa nasubiri jibu niondokeUna hamu eh?
Jamaa nae ni mchicha mwiba.....?Muda utatuambia..
Ngoja tusubiri dada ben paul delicious
...
Ulale sasa muda huu jf jje's umemuachia nani?
We si ndo huwa unajinadi hapa kama mtetezi wa kambi ya kiumeni ......Ben pol nae mpo kambi moja?Ulikuwa umekuja na jibakuli lililojaa mapovu nini??
Uko wapi wimbo wenyewe sasa!! Weka hapa!Nimeusikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza mida hii, sasa kuna kitu kimenishtua na nadhani inaweza isiwe habari nzuri kwa Ben.
Kuna kipengele
kipo kama kibwagizo kwenye wimbo mpya wa Ben Pol
kinasema
''Tak.o tatu wazungu waah / Tak.o tatu Samatta waah''
-
Kwa ambaye hajaelewa ni hivi:
Tak.o Tatu=Kupump mara tatu
Wazungu=mbegu za kiume
Samatta=bao
It means kwamba kwajinsi demu alivyomkolea basi jamaa akipump mara tatu tu anapiga goli.
..
Je, hauhisi kwamba huu wimbo unaweza kufungiwa endapo hayo matusi wakiyabaini BASATA/TCRA....
-
Maoni yangu;
Nadhani kimefika kipindi kwa serikali kuanza kuruhusu kisheria nyimbo zenye mahadhi ya utupu au wenzetu wanaita EXPLICIT/ DIRTY VERSION.
nadhani itatoa fursa kwa wasanii kutoa ujumbe walioukusudia kwenda kwenye rika fulani walilolilenga, manake sio nyimbo zote zitawalenga wenyeviti wa vitongoji, Nyimbo nyengine unakuta msanii amedhamiria kuburudisha vijana wa aina fulani, sasa tusiforce wala tusiwapangie wanamuziki, maana wao ndio wanajua jinsi ya kuwagusa fans wao.
N.B
Kama haujui utaratibu wa EXPLICIT VERSION /CLEAN VERSION basi ni vema ukafunga bakuli lako au ukaenda kujiongeza kwanza kabla ya kumwaga OMO
Wewe ni mchambuzi wa nyimbo zote za bongo au?Nimeusikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza mida hii, sasa kuna kitu kimenishtua na nadhani inaweza isiwe habari nzuri kwa Ben.
Kuna kipengele
kipo kama kibwagizo kwenye wimbo mpya wa Ben Pol
kinasema
''Tak.o tatu wazungu waah / Tak.o tatu Samatta waah''
-
Kwa ambaye hajaelewa ni hivi:
Tak.o Tatu=Kupump mara tatu
Wazungu=mbegu za kiume
Samatta=bao
It means kwamba kwajinsi demu alivyomkolea basi jamaa akipump mara tatu tu anapiga goli.
..
Je, hauhisi kwamba huu wimbo unaweza kufungiwa endapo hayo matusi wakiyabaini BASATA/TCRA....
-
Maoni yangu;
Nadhani kimefika kipindi kwa serikali kuanza kuruhusu kisheria nyimbo zenye mahadhi ya utupu au wenzetu wanaita EXPLICIT/ DIRTY VERSION.
nadhani itatoa fursa kwa wasanii kutoa ujumbe walioukusudia kwenda kwenye rika fulani walilolilenga, manake sio nyimbo zote zitawalenga wenyeviti wa vitongoji, Nyimbo nyengine unakuta msanii amedhamiria kuburudisha vijana wa aina fulani, sasa tusiforce wala tusiwapangie wanamuziki, maana wao ndio wanajua jinsi ya kuwagusa fans wao.
N.B
Kama haujui utaratibu wa EXPLICIT VERSION /CLEAN VERSION basi ni vema ukafunga bakuli lako au ukaenda kujiongeza kwanza kabla ya kumwaga OMO
Tatizo huko BASATA wamekaa wazee tu..sanaa wanayojua ni ngoma za kienyejiNimeusikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza mida hii, sasa kuna kitu kimenishtua na nadhani inaweza isiwe habari nzuri kwa Ben.
Kuna kipengele
kipo kama kibwagizo kwenye wimbo mpya wa Ben Pol
kinasema
''Tak.o tatu wazungu waah / Tak.o tatu Samatta waah''
-
Kwa ambaye hajaelewa ni hivi:
Tak.o Tatu=Kupump mara tatu
Wazungu=mbegu za kiume
Samatta=bao
It means kwamba kwajinsi demu alivyomkolea basi jamaa akipump mara tatu tu anapiga goli.
..
Je, hauhisi kwamba huu wimbo unaweza kufungiwa endapo hayo matusi wakiyabaini BASATA/TCRA....
-
Maoni yangu;
Nadhani kimefika kipindi kwa serikali kuanza kuruhusu kisheria nyimbo zenye mahadhi ya utupu au wenzetu wanaita EXPLICIT/ DIRTY VERSION.
nadhani itatoa fursa kwa wasanii kutoa ujumbe walioukusudia kwenda kwenye rika fulani walilolilenga, manake sio nyimbo zote zitawalenga wenyeviti wa vitongoji, Nyimbo nyengine unakuta msanii amedhamiria kuburudisha vijana wa aina fulani, sasa tusiforce wala tusiwapangie wanamuziki, maana wao ndio wanajua jinsi ya kuwagusa fans wao.
N.B
Kama haujui utaratibu wa EXPLICIT VERSION /CLEAN VERSION basi ni vema ukafunga bakuli lako au ukaenda kujiongeza kwanza kabla ya kumwaga OMO
Nioneshe husda ipo wapi?? Umeyasoma maoni yangu vizuri?Wewe ni mchambuzi wa nyimbo zote za bongo au?
Maana kama ni hivyo, kuanzia nyimbo za kitambo za kina prof j hazifai. Kama ile inayoitwa nipoze moyo.
Hata za kipindi hiki pia. Nyimbo nyingi ukizitafsiri, ni matusi matupu.
Kutumia tafsida ndo Sanaa yenyewe
Avha roho ya husda
Nimeusikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza mida hii, sasa kuna kitu kimenishtua na nadhani inaweza isiwe habari nzuri kwa Ben.