Wewe una matatizo mkutano wa Yanga ulifanyika mapema hata kabla ya kuanza hizi mbwembwe za kutangaza wachezaji wapya na walitangaza malengo yao kabla yenu. Hersi alisema lengo la Yanga ni kuingia robo msimu huu. Msimu uliopita Hersi alisema nia ya Yanga ni kuingia makundi, hivyo hivyo kwenye shirikisho mwaka juzi ila ndio hivyo shirikisho tuliingia fainali na championship tukaingia robo
Maelngo ya club yenu mtu wa kwanza kuyaongelea ni Magoli alipo hojiwa na Bin Zuberi Azam,tena wiki kazaa zilizopita baada ya mkutano wa Yanga.
Arsenal na Chelsea timu za London, ila Arsenal kipindi cha nyuma alikuwa anafanya vizuri sana, kiliko Chelsea japo alikuwa anaishia robo, ila Chelsea mpaka sasa ana UEFA mbili. Morihno na Porto walikuwa hawana rekodi yoyote UEFA,ila akabeba ndoo.
Kwenye mpira yote yanawezekana ni mipango tu na mipango yenu na Yanga haifanani na kama ulishindwa kufika nusu ni wewe,Yanga itapambana mpaka itakapo ishia.