Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Na amesahau kua VAR ndio uliotunyima semi msimu uliopita
 
Mnakejeli Simba kufika robo fainali ila wakati huo huo mnajiwekea malengo ya kufika robo fainali. Viumbe wa ajabu sana nyie. Wivu na uswahili unawasumbua.
Malengo ya kufika yalikua misimu ya Confederation. Kwasasa malengo ni walau nusu mpaka fainali kabisa
 
Kwahiyo mlijua robo cafcl ni lele mama?
 
Hahahaa mashabiki wa simba wapumbavu, nyie ndio mlioweka malengo ya Yanga ya kufika fainali shirikisho wakati hata nusu hamjawahi kuvuka? Malengo ya Yanga msimu huu CAFCL ni kufika ROBO fainali tu.

Tumia maneno vizuri mkuu.
Si hekima kusema mashabiki wa simba ni wapumbavu wengine ni weledi wenye akili timilifu.
 
Hahahaa mashabiki wa simba wapumbavu, nyie ndio mlioweka malengo ya Yanga ya kufika fainali shirikisho wakati hata nusu hamjawahi kuvuka? Malengo ya Yanga msimu huu CAFCL ni kufika ROBO fainali tu.
Nye wapumbavu huwa mna malengo ya kipuuzi,hujavuka hatua ya mwanzo mnazungumzia hatua inayofuata. Kama siyo wehu ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…