Zanzibar 2020 Uchambuzi: Nafasi ya Profesa Makame Mbarawa kwenye Urais Zanzibar

Mbarawa bila mbeleko ya John hakatizi yule..... mbona hili liko wazi?
 

Jinamizi hili halitomwacha salama Prof. katika uchaguzi huu wa 2020.
 

Uchambuzi mzuri wa siasa za Zanzibar zilivyo na namna inavyoweza kuathiri kutibua nyota yake kisiasa Profesa Makame Mbarawa
 

Hapa atakuwa kama Profesa Mark Mwandosya ambaye mkewe ni raia wa Uganda na labda ndicho kilichopelekea CCM Tanganyika kumfanyia fitna za kisiasa. Je Profesa Makame Mbarawa fitna zilezile zilizomkumba Mzee Mwandosya zitafifisha nafasi yake kuteuliwa katika wale 3 waZanzibari ndani ya CCM Zanzibar kuwania urais SMZ kule Dodoma ?

Historia ya Mzee Mark Mwandosya :
Kwa kifupi

8 Jun 2015
Prof. Mark James Mwandosya akitangaza nia kugombea urais kupitia CCM 2015, Mbeya June 1 2015
 
Kwenye vikwazo kuna mambo muhimu hujayataja.

Kwanza profesa hana mizizi Ya kisiasa Zanzibar na iangaliwe kikwazo cha kukosa suppoti ya wahafidhina...
Hoja yako ya pili ndio hoja kuu kwa wahafidhina wa unguja.

Prof Mbarawa ni mchapakazi mzuri ila asubiri kidogo mwaka huu tunampa tuliyemuandaa muda mrefu Dr. Hussein Mwinyi.

Prof yeye tutampa u makamu wa pili wa rais SMZ
 
Wewe ndio unasema hivyo ila kwa siasa za Visiwani hii ndio hoja kuu hasa kwa wahafidhina wa Unguja.

Wao marais wakitoka unguja 20 kwa kufatana sawa ila sio kwa wapemba.
 
Hoja yako ya pili ndio hoja kuu kwa wahafidhina wa unguja.

Prof Mbarawa ni mchapakazi mzuri ila asubiri kidogo mwaka huu tunampa tuliyemuandaa muda mrefu Dr. Hussein Mwinyi.

Prof yeye tutampa u makamu wa pili wa rais SMZ
Tulimuandaa
 
Kwa ufahamu wangu. Karume Senior tulifundishwa kwao Mwera. Mwera so MJINI ni Maghrib .
Ama kwa hoja yako hiyo maraisi wote wametokea MJINI maana ndipo walipo upatia uteule


Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…