UCHAMBUZI: Ni kwanini Ruge aliwezana sana na wasanii wachanga na akashindwana na wakongwe

UCHAMBUZI: Ni kwanini Ruge aliwezana sana na wasanii wachanga na akashindwana na wakongwe

kiss daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
758
Reaction score
2,062
Aman iwe juu yenu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Leo nimekuletea uchambuz ili ujue ni kwanini kaka yetu aliwezana na wasanii wachanga na akishindwana kabisa na wasanii wakongwe

Msanii mchanga ni rahis sana kuteka akili yake hata akiwa kwenye top, unaweza kumletea demu mkali tu na ukamulipia gest house

Unaweza hata kumlipia ticket ya ndege na kumpa laki mbili kisha akapiga show

Kwake pesa siyo kigezo cha kwanza Ila umarufu, pombe na mademu wakali wenye majina

Kuna line moja ya fidq inasema watakupa pesa ya kula na mafake ladies kisha utaenda zako so why no pamanent artist

Ujanja wa ruge alikuwa anakutumia ukiwa star mchanga hujaijua pesa na ukishituka tu kuwa unaibiwa hivyo unataka ulipwe kulingana na mziki wako anakutema na kukutema mfano king zila na wengine wengi hapo utabak na jina tu maana huna pesa na huna mademu mwisho wa siku mawazo na kuingia kwenye madawa ya kulevya

Msanii mkongwe hataki hela ya kula wala hataki mademu yeye anataka mkwanja na si bla bla

Diamomd kwa Mara ya kwanza walimpa mademu na pesa ya kula lakin aliposhituka na kugundua kuwa hataki hela ya kula wa mademu Bali anataka pesa kila show 10milion hapo ndo kasheshe ilipoanzia

Ugomvi wa diamond na ruge ni mkubwa sana mfano kama ugomvi wa sir God na Satan

Siku zote mtu anayezuia riziki yako na kutaka kukutoa kwenye kiti huwez muelewa hata kidogo

Ndo maana Mungu hampend shetan sababu alitaka kumtoa kwenye kiti cha enzi ili akae yeye

Ni hayo tu

NEW YORK BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujanja wa ruge alikuwa anakutumia ukiwa star mchanga hujaijua pesa na ukishituka tu kuwa unaibiwa hivyo unataka ulipwe kulingana na mziki wako anakutema na kukutema mfano king zila na wengine wengi hapo utabak na jina tu maana huna pesa na huna mademu mwisho wa siku mawazo na kuingia kwenye madawa ya kulevya

Na hizi akili zako ndio zinazowatawala Wasanii Wengi, na huenda na wewe ni Msanii.

Sasa baada ya kugundua Ruge anakuibia, ukitoka hapo unaenda kujifungia chumbani ama? si utafute channel nyingine uendeleze kipaji chako (kama kipo na ni cha kipekee)

Tatizo Wasanii wengi hata hamjielewi. Hao Maproducers wenyewe wanalia kila kukicha namna mnavyopenda mteremko...yaani nyie huwa mnataka mpate nyinyi tu na hamna habari na wanaowawezesha...Producer ataumiza kichwa ukifanikiwa unamfungia vioo na nyodo kibao.
 
Back
Top Bottom