UCHAMBUZI: Ni kwanini Ruge aliwezana sana na wasanii wachanga na akashindwana na wakongwe

UCHAMBUZI: Ni kwanini Ruge aliwezana sana na wasanii wachanga na akashindwana na wakongwe

Mfanyabiashara yoyote lazima angalie faida
Na ukitaka kupata pesa zaidi kuwa mnyonyaji tu wafanyabiashara wakubwa bongo wote wanyonyaji
Mfano mzee many ni balaaaa
Kwa hiyo kwnye issue ya unyonyaji syo ruge tu wako wafanyabiashara wakubwa ni wanyonyaji kiwango cha SGR

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi wako ni mzuri ila umekosea sana kumfananisha Mungu na wanadamu ni vizuri ungefuta kabisa
Alichokuwa anakifanya Ruge ni juhudi za kulinda wazo lake la biashara matamasha ya fiesta yalikuw yanaingiza pesa ndefu
na inawezekana hata kumlipa kila msanii Mil 10 kwa show moja lakini hapa lazima tegemea kupata washindani mana utakuwa umegawa wazo na mtaji
mfano kama leo hii wangetokea wasanii kama kumi wote wanaanzisha matamasha yao hapa ni lazima uingie kwenye ushindani jamaa alikuwa anatumia akili nyingi kufanya mambo yake
 
dah hizi malalamiko za wasanii za kuwa wananyonywa nimeanza kuzisikia kitambo sana,afu cha kushangaza wakiondoka kwa hao watu wanaowalalamikia wanawanyonya ndo wanapotea kabisa,nafikiri ni tamaa au sijui nini?..
kunyonywa ukiwa na uhitaji ni kitu cha kawaida ukizingatia gemu yenyewe ya mziki kibongobongo bado kwikwi,hii haiondoi mchango wa ruge ktk mziki unaweza kuangalia historia ya mtaalamu suge knight na 2 pac,lil wayne na cash money birdman baby himself,p-didy na bad boys yake kadhulumu sana..
 
Back
Top Bottom