dah hizi malalamiko za wasanii za kuwa wananyonywa nimeanza kuzisikia kitambo sana,afu cha kushangaza wakiondoka kwa hao watu wanaowalalamikia wanawanyonya ndo wanapotea kabisa,nafikiri ni tamaa au sijui nini?..
kunyonywa ukiwa na uhitaji ni kitu cha kawaida ukizingatia gemu yenyewe ya mziki kibongobongo bado kwikwi,hii haiondoi mchango wa ruge ktk mziki unaweza kuangalia historia ya mtaalamu suge knight na 2 pac,lil wayne na cash money birdman baby himself,p-didy na bad boys yake kadhulumu sana..