Ni πΈanayelishwa na shemeji yake tu ndiye anayeweza kuwaza hivi.Yaani timu inayoshika nafasi ya tatu ndio ikamtoe Al ahly bingwa wa Egypt????
Wewe unayewaona hao ni wajinga ndiye mpumbavu kabisa na upumbavu wako utathibitika tarehe 29/03/3024Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo [emoji250] [emoji250] wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time)
Yaani timu inayoshika nafasi ya tatu ndio ikamtoe Al ahly bingwa wa Egypt???? ...tuache utani kabisa....
Kwa defense mbovu ya. Simba tegemea kuwa Percy Tau ataondoka na magoli sio chini ya 5 [emoji113] then bado yule mchezaji mwenye manywele nae atapiga 3
Nb: kama tu Yanga ( bingwa) alisumbuliwa na Al ahly.....Je huyu mshindi wa 3 ( kolo) ....sindo atakula kichapo Cha 8-0 ...then taifa litaaibishwa [emoji22][emoji22]View attachment 2942322
Lkn Percy Tau na yule manywele...ni wazima kabsaIdadi ya majeruhi inazidi kuongezeka kwa wachezaji wa Al Ahly, jana tena mchezaji wao Emam Ashour kaumia bega na kushindwa kuendelea na mchezo. Mpaka sasa kuna wachezaji 4 majeruhi kwa upande wa Al Ahly
Sahihi mkuu...wanajifarijiSimba Sc Wana Team Mbovu Kupita Maelezo Ila Wanajipa Moyo Kisa Wamekuwa Mashabiki Wa Mamelod.
Wanahisi Mamelod Watachomoka Kwa Dar Young Africans. Ila Amin Amin Nawaambia Mamelod Atakufa Goal Kuanzia 3 Kwa Mkapa.
Mark My Words!
Vp huwaamini kina fredSimba defence sio mbaya, golini akikaa lakreb, kati inonga na che malone, pemben shabalala na isra, sio kubaya... stress ni kule mbele, timu haina striker kabisa, magoli tunategemea kwa chama na saidoo... hapo ndo pananipa mashaka jins gan simba itashinda.
ila vita ya simba na aly ahli sio tena ya 5-0, hawa ni droo mtu ashindie matuta au ahly ashinde kwa gd isiyozid 2.
huko kwa kina UBUNTU BOTHO nako ni 50-50, tu yanga wako vizuri kwenye mechi za vita
Baada ya hii foto mleta uzi amejamba ushuzi wa ngomani.
Kumbe unajua ni wa moto?Huyu akikutana na bacca ..atapoa