Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ATAKUWEPO ILA AKIKUTANA NA BACCA ATAKUWEPO KAMA HAYUPOHuyu akikutana na bacca ..atapoa
Achana na hizo ndoto mkuu ...nna experience kubwa kwenye sokaPengine hujui kanuni ya kutabiri mpira; hatusemi Timu itashinda, tunasema Timu fulani ina nafasi kubwa ya Kushinda.
Turejee historia kidogo.
Binafsi hakuna Simba iliyokuwa bora na Timamu, kama ile ya Marehemu James Aggrey Siang'a. Simba hii ilikua ikitembeza goli Sita Sita kwa timu zilizokatika kizembe. Enzi hizo za Madaraka Selemani a.k.a Mzee wa Kiminyio. Na wala sio mbali, ni miaka ya 2003-6. Simba hii binafsi nilikua ninaiogopa sana. 2003, ilienda CAFCL hatua ya Makundi kwa kumtandika Timu kubwa kabisa Misri & Afrika, ZAMALEK. Haikumchapa uhuru tu, bali kwao, Cairo.
Leo with almost 20 years of Simba's experience of playing with Egyptians, a number of Int players in his squad, iiogope Al ahly. No, You must be kidding.
Game on, Simba ina wamudu hawa.
Wao wana hela, sisi tuna morali.
Hata Peter Shalulile ni mzima wa afyaLkn Percy Tau na yule manywele...ni wazima kabsa
Atatoka...nyie endeleeni na vipengele vyenu vya UbuntuKufunga sio Kesi ....bali kumtoa Al ahly ndo kipengele
Nyeee nyeee nyeee...Simba akimtoa Al ahly.....nitafutie....nna offer Yako kikupeleka Dubai
Sihitaji hyo ofa ww jipe mwenyewe..whether we qualify or not qualified....Dubai is waiting for you [emoji23][emoji23][emoji23]....once you'r team qualify over Al ahly [emoji23]
Unatoa wapi busara ya kutangaza matokeo kabla mchezo haujachezwa? Jitahidi utunze hisia zako hadi baada ya mchezo ndipo utoe hitimisho.Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo [emoji250] [emoji250] wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time)
Yaani timu inayoshika nafasi ya tatu ndio ikamtoe Al ahly bingwa wa Egypt???? ...tuache utani kabisa....
Kwa defense mbovu ya. Simba tegemea kuwa Percy Tau ataondoka na magoli sio chini ya 5 [emoji113] then bado yule mchezaji mwenye manywele nae atapiga 3
Nb: kama tu Yanga ( bingwa) alisumbuliwa na Al ahly.....Je huyu mshindi wa 3 ( kolo) ....sindo atakula kichapo Cha 8-0 ...then taifa litaaibishwa [emoji22][emoji22]View attachment 2942322
That's y Kuna kitu inaitwa uchambuzi....tunafanya evaluation analysis...kujua udhaifu or uimara wa timuUnatoa wapi busara ya kutangaza matokeo kabla mchezo haujachezwa? Jitahidi utunze hisia zako hadi baada ya mchezo ndipo utoe hitimisho.
Umevuta bangi ngapi Leo? Na visungura je?Kila nikipita mitandaoni Huwa nacheka sana kuona makolo [emoji250] [emoji250] wakifarijiana Kwamba wataenda semi final there for wamtoe Al ahly hizi ni ndoto za abunwasi ( waste of time)
Yaani timu inayoshika nafasi ya tatu ndio ikamtoe Al ahly bingwa wa Egypt???? ...tuache utani kabisa....
Kwa defense mbovu ya. Simba tegemea kuwa Percy Tau ataondoka na magoli sio chini ya 5 [emoji113] then bado yule mchezaji mwenye manywele nae atapiga 3
Nb: kama tu Yanga ( bingwa) alisumbuliwa na Al ahly.....Je huyu mshindi wa 3 ( kolo) ....sindo atakula kichapo Cha 8-0 ...then taifa litaaibishwa [emoji22][emoji22]View attachment 2942322
Haya ndugu yangu; mwenzenu nasubiri filimbi ya mwisho tu.That's y Kuna kitu inaitwa uchambuzi....tunafanya evaluation analysis...kujua udhaifu or uimara wa timu
We Utopolo.Afu huwahi weka AHADI ukatimiza.Weka AHADI kama simba akipita nusu final tukufanye Nini?Yanga imetokea wapi Tena