Uchambuzi: Ni mjinga tu ataamini Simba wata droo au kuifunga Al ahly

Af Kwann sijui game inayozungumziwa ni ya yanga tu wakuu yaan huu ndo izo wa kwanza kolo kupewa airtime toka droo itoke [emoji28][emoji28]
 
Pengine hujui kanuni ya kutabiri mpira; hatusemi Timu itashinda, tunasema Timu fulani ina nafasi kubwa ya Kushinda.

Turejee historia kidogo.
Binafsi hakuna Simba iliyokuwa bora na Timamu, kama ile ya Marehemu James Aggrey Siang'a. Simba hii ilikua ikitembeza goli Sita Sita kwa timu zilizokatika kizembe. Enzi hizo za Madaraka Selemani a.k.a Mzee wa Kiminyio. Na wala sio mbali, ni miaka ya 2003-6. Simba hii binafsi nilikua ninaiogopa sana. 2003, ilienda CAFCL hatua ya Makundi kwa kumtandika Timu kubwa kabisa Misri & Afrika, ZAMALEK. Haikumchapa uhuru tu, bali kwao, Cairo.

Leo with almost 20 years of Simba's experience of playing with Egyptians, a number of Int players in his squad, iiogope Al ahly. No, You must be kidding.

Game on, Simba ina wamudu hawa.

Wao wana hela, sisi tuna morali.
 
Achana na hizo ndoto mkuu ...nna experience kubwa kwenye soka
 
Nyeee nyeee nyeee...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Dubai is waiting for you [emoji23][emoji23][emoji23]....once you'r team qualify over Al ahly [emoji23]
 
Dubai is waiting for you [emoji23][emoji23][emoji23]....once you'r team qualify over Al ahly [emoji23]
Sihitaji hyo ofa ww jipe mwenyewe..whether we qualify or not qualified....
Dubai mm nishaenda sana... wala hunishtui..
""Iweenaaaaaa...""ubuntu nobuntu nabantu""
 
Unatoa wapi busara ya kutangaza matokeo kabla mchezo haujachezwa? Jitahidi utunze hisia zako hadi baada ya mchezo ndipo utoe hitimisho.
 
Sihitaji hyo ofa ww jipe mwenyewe..whether we qualify or not qualified....
Dubai mm nishaenda sana... wala hunishtui..
""Iweenaaaaaa...""ubuntu nobuntu nabantu""
Labda umeenda Dubai ya Namtumbo [emoji23][emoji23]
 
Unatoa wapi busara ya kutangaza matokeo kabla mchezo haujachezwa? Jitahidi utunze hisia zako hadi baada ya mchezo ndipo utoe hitimisho.
That's y Kuna kitu inaitwa uchambuzi....tunafanya evaluation analysis...kujua udhaifu or uimara wa timu
 
Umevuta bangi ngapi Leo? Na visungura je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…