Uchambuzi: Ni mjinga tu ataamini Simba wata droo au kuifunga Al ahly

Labda umeenda Dubai ya Namtumbo [emoji23][emoji23]
Kaa utulie dogo...akili zako za kuwaza uandike nini kuhusu Simba daily tena pumba tupu..huwezi kuwa na akili ya kutafuta hela wewe...njoo nikulee ule ushibe uende chooni..ili ushinde jf vzuri ..
 
Aaahaaa
 
Watz mko serious sana na mpira wa simba na yanga ila mambo ya msingi katika maisha wala hamjadili.Nchi hii mambo ya hovyo hovyo ndio mengi.
 
Kama una uhakika labani og sema upigwe ban😁😁

Mbona unakimbia kimbia wewe
 
Watz mko serious sana na mpira wa simba na yanga ila mambo ya msingi katika maisha wala hamjadili.Nchi hii mambo ya hovyo hovyo ndio mengi.
Kama yapi mkuu....mbona nchi Iko shwari .... tunaishi peacefully

Tunachakata kimasihara....so unataka nini kingine
 
Mashabiki wa Yanga ni wajinga sana,hawajui mpira unadunda,hiyo hiyo Simba mbovu ilicheza na Al Ahly African football cup ikatoka 2-2 dar na kutoka 1-1 Misri na ilikuwa kama hii, hiyo hiyo Yanga ilicheza na makundi na Al Ahly wakatoka 1-1 Dar na kufungwa Misri.
 
Je Simba wlimtoa Al ahly
 
Hawakumtoa lakini hawakufungwa,wewe ambaye unajisifu una timu nzuri mbona alikufunga kwao? Huo ndo ujinga wenyewe
Case closed...title imesomeka ...kumtoa Al ahly
 
Mpka sasa mpira mtandaoni simba 5 _al ahly 0 Yanga 20 Sundown 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…