Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAFUNGWA NGAPI MKUUSalaam Wana jf
Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Kila nikijaribu kuitazama kiundani hii mechi ya Simba vs Wydad....naona ngoma ngumu
Nmejaribu hata kubashiri Kwa kutumia science ya asili bado mitambo inafeli .....but Kwa kutumia experience ya timu ya simba mwaka huu haya ni mambo yatakayotokea
1.Game itakuwa ni [emoji91] hivyo pia pressure itakuwa kubwa kama fainali Kwa timu zote mbili hivyo basi wydad watatengeneza makosa Kwa Simba ( ikiwemo kujiangusha) Ili wapate penalty/ free kick na kufunga
2. Timu ya Simba itaangushwa na umakini wa wafungaji ie baleke chances 6......goal0. .....pia waydad watacheza pira spidi na kuwafanya Simba kufanya makosa
3. Uzoefu utawabeba wydad....kama unabisha ...rejea mechi ya kwanza ya Simba vs Wydad
NB: kiukweli mechi itakuwa nzito sana Kwa timu zote mbili that's y nmeshindwa hata kubashiri matokeo.....ila wydad watashinda Kwa janja janja