Uchambuzi: Simba atapigwa 3-0 na Power Dynamo

Wewe Sasa ndiyo tafsiri ya kamati ya roho mbaya!
 
Nakata mkono hoja
 
Katika hii mechi naiona suluhu ya bila kufungana au simba akiondoka na ushindi wa chini ya goli mbili.
Power dynamos katika mechi zake tatu za mwisho za ligi amesuluhu 2 na kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa moja mechi yake ya mwisho.
wana viungo wazuri na mabeki wazuri lakini waki lazimishwa kufanya makosa wanapotena haraka sana.
Kiushambuliaji hawapo vizuri sana bado wanajitafuta.

Simba nawaona favorites katika hii mechi wanasafu nzuri ya ushambuliaji na viungo bora na hii ndio itakua mwiba kwa Power dynamos.
 
No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…