Uchambuzi: Simba atapigwa 3-0 na Power Dynamo

Wiki hii nimejaribu kufanya uchambuzi wa kina Kwa mechi hii ya mnyama na timu ya power Dynamo

Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo

Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside

Mechi itakwisha Kwa Simba 0.........3 power Dynamo

NB: tuombee sana ....matokeo yapinduke[emoji23]View attachment 2749979
Wewe Sasa ndiyo tafsiri ya kamati ya roho mbaya!
 
Wiki hii nimejaribu kufanya uchambuzi wa kina Kwa mechi hii ya mnyama na timu ya power Dynamo

Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo

Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside

Mechi itakwisha Kwa Simba 0.........3 power Dynamo

NB: tuombee sana ....matokeo yapinduke[emoji23]View attachment 2749979
Nakata mkono hoja
 
Katika hii mechi naiona suluhu ya bila kufungana au simba akiondoka na ushindi wa chini ya goli mbili.
Power dynamos katika mechi zake tatu za mwisho za ligi amesuluhu 2 na kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa moja mechi yake ya mwisho.
wana viungo wazuri na mabeki wazuri lakini waki lazimishwa kufanya makosa wanapotena haraka sana.
Kiushambuliaji hawapo vizuri sana bado wanajitafuta.

Simba nawaona favorites katika hii mechi wanasafu nzuri ya ushambuliaji na viungo bora na hii ndio itakua mwiba kwa Power dynamos.
 
No
Wiki hii nimejaribu kufanya uchambuzi wa kina Kwa mechi hii ya mnyama na timu ya power Dynamo

Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo

Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside

Mechi itakwisha Kwa Simba 0.........3 power Dynamo

NB: tuombee sana ....matokeo yapinduke[emoji23]View attachment 2749979Ndoto za mchana hizi,Kuna siku yatatokea yaleeee😂
 
Back
Top Bottom