Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Hajui hata kupanga matokeo ya home/awayZambia au Dar?
Wachawi Simba na wanashikilia taji la kupigwa faini kwa sababu ya uchawiMchawi mkubwa wewe.
Vipi kama wanacheza Kwa kuficha strategies zao .....Ili mnyama aingie kingiKatika hii mechi naiona suluhu ya bila kufungana au simba akiondoka na ushindi wa chini ya goli mbili.
Power dynamos katika mechi zake tatu za mwisho za ligi amesuluhu 2 na kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa moja mechi yake ya mwisho.
wana viungo wazuri na mabeki wazuri lakini waki lazimishwa kufanya makosa wanapotena haraka sana.
Kiushambuliaji hawapo vizuri sana bado wanajitafuta.
Simba nawaona favorites katika hii mechi wanasafu nzuri ya ushambuliaji na viungo bora na hii ndio itakua mwiba kwa Power dynamos.
Angalia, wa milembe nao hudhani sisi tulio nje ya milembe ndo wagonjwaWahi milembe kabla hujaanza kuokota makopo na kupiga watu mawe
Ungeahidi kabisa kuwa matokeo yasipokuwa hivyo, ufanywe nini, utoe 0713 au utembee bila nguo au uazimishe mke wako kwa siku mbiliSimba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside
Jipige kifua na useme ww ni punguani waheedHakika mkuu