Uchambuzi: Simba atapigwa 3-0 na Power Dynamo

Uchambuzi: Simba atapigwa 3-0 na Power Dynamo

Katika hii mechi naiona suluhu ya bila kufungana au simba akiondoka na ushindi wa chini ya goli mbili.
Power dynamos katika mechi zake tatu za mwisho za ligi amesuluhu 2 na kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa moja mechi yake ya mwisho.
wana viungo wazuri na mabeki wazuri lakini waki lazimishwa kufanya makosa wanapotena haraka sana.
Kiushambuliaji hawapo vizuri sana bado wanajitafuta.

Simba nawaona favorites katika hii mechi wanasafu nzuri ya ushambuliaji na viungo bora na hii ndio itakua mwiba kwa Power dynamos.
Vipi kama wanacheza Kwa kuficha strategies zao .....Ili mnyama aingie kingi
 
Wahi milembe kabla hujaanza kuokota makopo na kupiga watu mawe, uchizi una kunyemelea
 
Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside
Ungeahidi kabisa kuwa matokeo yasipokuwa hivyo, ufanywe nini, utoe 0713 au utembee bila nguo au uazimishe mke wako kwa siku mbili
 
Huu uchambuzi ni sahihi 100%. Wenzetu nyumbani Huwa wanashindilia goli za kutosha! Goli zote 3 zitafungwa first half!
My bet ni Simba kutolewa round ya kwanza, hili nina hakika nalo!
 
Back
Top Bottom