Uchambuzi: Simba atapigwa 3-0 na Power Dynamo

Huu uchambuzi ni sahihi 100%. Wenzetu nyumbani Huwa wanashindilia goli za kutosha! Goli zote 3 zitafungwa first half!
My bet ni Simba kutolewa round ya kwanza, hili nina hakika nalo!
Japo wanakataa
 
Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside. Matokeo yasipokuwa hivyo mniite shoga
Haya, jiite mwenyewe
 
Tabiri la kijinga jinga
 
Nilipie kila kitu nitaenda kama mtanilipia mlipwe nyie tuteseke sisi msituletee mbamba
 
Huu uchambuzi ni sahihi 100%. Wenzetu nyumbani Huwa wanashindilia goli za kutosha! Goli zote 3 zitafungwa first half!
My bet ni Simba kutolewa round ya kwanza, hili nina hakika nalo!
JF imekuwa na Vichaa wengi kwa sasa nadhan huko Mirembe wameanza ruhusu hawa wagonjwa kutumia Smart Phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…