Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unprofessional
Haya, jiite mwenyeweSimba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside. Matokeo yasipokuwa hivyo mniite shoga
Mm naona wapinzani ndo walikuwa na bahati.Tuna bahati mkuu
Vp umecheki mechi[emoji1][emoji1]
Si uliahidi kutoa GoTi 0713, mechi ya nini tena watu tunaangalia utabiri wako!Vp umecheki mechi[emoji1][emoji1]
Nilipie kila kitu nitaenda kama mtanilipia mlipwe nyie tuteseke sisi msituletee mbambaWiki hii nimejaribu kufanya uchambuzi wa kina Kwa mechi hii ya mnyama na timu ya power Dynamo
Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo
Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside
Mechi itakwisha Kwa Simba 0.........3 power Dynamo
NB: tuombee sana ....matokeo yapinduke[emoji23]View attachment 2749979
JF imekuwa na Vichaa wengi kwa sasa nadhan huko Mirembe wameanza ruhusu hawa wagonjwa kutumia Smart PhoneHuu uchambuzi ni sahihi 100%. Wenzetu nyumbani Huwa wanashindilia goli za kutosha! Goli zote 3 zitafungwa first half!
My bet ni Simba kutolewa round ya kwanza, hili nina hakika nalo!