Uchambuzi: Simba huko robo fainali tujiandae kupata aibu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz

Hasara

Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha

Hongereni Kwa kaushindi
 
Kikosi Cha simba bado kina pancha Kwa Sasa sio muda kitaonekana
 
Mechi ya nyumbani kwao bila Bocco na kufakisha tulikuwa tunasare au kushinda kabisa

Kama unafikiri walikuwa wamekubaliana wafungwe, kwanini walikuwa wana maindiana wao kwa wao pindi wanapokosa nafasi wakati plan yao ilikuwa kufungwa?

Kwanini walikuwa wanatumia nguvu kubwa kufika golini kwa Manula kufanya mashambulizi?

Chama yupo kwenye peak ya ubora wake ana dive na kufanya spinning za hapa na pale halafu we unasema less motivated?

Kama game ilikuwa ni Horoya kucheza vibaya ili wamfelishe boss wao, unafikiri kocha wa Taifa stars alikuwa mjinga kuwaita pembeni shabalala na Kapombe?
 
Haya mkuu kama inaonekana huu ushindi umekuumiza nenda pharmacy mwambie unaomba GOFEN unywe kidonge kimoja mpaka kesho tena
Nadhani unaujua mchango wetu wachambuzi

Mfano .....hapa jf tulilipigia kelele suala la wachezaji kushinda goal Moja .....lkn umeona Jana!??
 
Kuhusu kufika golini sio excuse ya defend hoja .......lazima tuonyeshe kuwa tupo uwanjani .....

Kuhusu kuwaita kina kapombe pembeni
Issue ni simple...... Ubovu wa wenzako ndio unafanya wengine ku shine

Horoya wamecheza chini ya kiwango
 
Bahati Sisi huko tulishakuzoea kucheza. Wewendiyo una mashaka sababu huna viwango.

Hao wakubwa tunajuana nao vzr Sana.

Hakuna Yanga mwenye akili!
lete hoja ...Mkuu Yanga wanaingiaje hapa
 
Hivi bado kuna mburukenge ka hawa dunia hii???

Mpira unachezwa hadharani sio gizani, jana Simba kapiga pira la maana, halafu kuna vyura wanahara ka wamelishwa hamila....[emoji53]
Yajayo yatawafurahisha
 
Ila utopolo ni utopolo tu....juz walikuwa wanatunanga kuwa tunafunga kamoja Chali.....sasa tumeamua kupiga wiki napo hawataki Tena....yan hawana tofaut na mama mjamzito.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee kwa kutesekaaa, mmeshangazwaa na kufurahishwaaa.
[emoji23][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…