Wewe sio mchambuzi maana una bias sana, mpira ni mchezo wa ku exploit makosa ya mwanzako horoya wamecheza vile sababu walikutana na Simba iliyokuwa bora Jana, angalia mach ya nyumbani kwao tuliwakamata vizuri tu tatizo likawa ufanisi eneo la mwisho. Home advantage ina maana sana , ukiwa nyumbani psychologically una feel territorial invasion against the foreigners hivyo una respond aggressively kumpa mapigo adui.Kuhusu kufika golini sio excuse ya defend hoja .......lazima tuonyeshe kuwa tupo uwanjani .....
Kuhusu kuwaita kina kapombe pembeni
Issue ni simple...... Ubovu wa wenzako ndio unafanya wengine ku shine
Horoya wamecheza chini ya kiwango
Huyu mtoa mada nishabiki wa teamKwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz
Hasara
Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unalo hili.[emoji23][emoji125][emoji125]
Umeongea yoteHuyu mtoa mada nishabiki wa team
Jana simba walikua wanatumia nafasi ipasavyo (11 shorts on target. ..7 goal) ndio tofauti kubwa iliopo,simba alipocheza na Raja. .waarabu waliziba sn njia zakutengeneza na wao wakawa clinical km simba jana...mpira upo hivyo usipotumia nafasi mwezio akitangulia tu. .kiakili mpira unakua tofauti.
Noted..Wewe sio mchambuzi maana una bias sana, mpira ni mchezo wa ku exploit makosa ya mwanzako horoya wamecheza vile sababu walikutana na Simba iliyokuwa bora Jana, angalia mach ya nyumbani kwao tuliwakamata vizuri tu tatizo likawa ufanisi eneo la mwisho. Home advantage ina maana sana , ukiwa nyumbani psychologically una feel territorial invasion against the foreigners hivyo una respond aggressively kumpa mapigo adui.
Je ulikiona kiwango Cha wapinzaniHuyu mtoa mada nishabiki wa team
Jana simba walikua wanatumia nafasi ipasavyo (11 shorts on target. ..7 goal) ndio tofauti kubwa iliopo,simba alipocheza na Raja. .waarabu waliziba sn njia zakutengeneza na wao wakawa clinical km simba jana...mpira upo hivyo usipotumia nafasi mwezio akitangulia tu. .kiakili mpira unakua tofauti.
Sasa mbona mnasema wachovu??Je ulikiona kiwango Cha wapinzani
Mnajua ukweli gani nyie mwanzo mlisema hatutoingia robo fainali lakini tumeingia kibabe kwa kumchabanga mtu goli 7 bila na subirini mshuhudie mwingine akitandikwa goli 8 kwenye robo fainali.Hamtaki Tuseme ukweli
Utopolo bhana,bado mnakuwa kama witch doctor kazi kupiga ramli kuwa Simba hatoboi Quarter Final.Endeleeni kuhamisha magoli tukitoboa Robo Fainali kwenda Nusu Fainali muendelee na utabiri wenu usiozingatia takwimu Bali akili za kushikiwa za wachambuzi maandaziKwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz
Hasara
Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721