Uchambuzi: Simba huko robo fainali tujiandae kupata aibu

Kama Raja wanaoshika nafasi ya nne kwenye ligi yao waliwafanya vile, tutegemee aibu kubwa.
Mpira una maajabu ......Raja aliyempiga 3 kolo. Ndiye huyu aliye droo na viper ...
 
Ila utopolo ni utopolo tu....juz walikuwa wanatunanga kuwa tunafunga kamoja Chali.....sasa tumeamua kupiga wiki napo hawataki Tena....yan hawana tofaut na mama mjamzito.....
Nadhani ndiyo waliowapa motivation
 
Kuhusu kufika golini sio excuse ya defend hoja .......lazima tuonyeshe kuwa tupo uwanjani .....

Kuhusu kuwaita kina kapombe pembeni
Issue ni simple...... Ubovu wa wenzako ndio unafanya wengine ku shine

Horoya wamecheza chini ya kiwango
Wewe sio mchambuzi maana una bias sana, mpira ni mchezo wa ku exploit makosa ya mwanzako horoya wamecheza vile sababu walikutana na Simba iliyokuwa bora Jana, angalia mach ya nyumbani kwao tuliwakamata vizuri tu tatizo likawa ufanisi eneo la mwisho. Home advantage ina maana sana , ukiwa nyumbani psychologically una feel territorial invasion against the foreigners hivyo una respond aggressively kumpa mapigo adui.
 
Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz

Hasara

Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha

Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Huyu mtoa mada nishabiki wa team
Jana simba walikua wanatumia nafasi ipasavyo (11 shorts on target. ..7 goal) ndio tofauti kubwa iliopo,simba alipocheza na Raja. .waarabu waliziba sn njia zakutengeneza na wao wakawa clinical km simba jana...mpira upo hivyo usipotumia nafasi mwezio akitangulia tu. .kiakili mpira unakua tofauti.
 
Umeongea yote
 
Noted..
 
Je ulikiona kiwango Cha wapinzani
 
Wacha wakaingie aibu kama hawajajipanga lazima wapigwe ila kwa jana japo sina ushabiki wa hizi timu goli saba hata kama mko less motivated bado sio sababu ya kuruhusu 7 mnajishusha thamani ingekua hivyo wangeruhusu hata moja au mbili bas. Muda mwingine kumbukeni kutambua juhudi fulani kwa sasa yanga wako njema ila simba nae anacheza na anaweza fika mbali japo sio rahisi. Leo yanga nawaombea washunde ili kesho kusiwe na anaetamba kusininda mwingine
 
Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz

Hasara

Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha

Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Utopolo bhana,bado mnakuwa kama witch doctor kazi kupiga ramli kuwa Simba hatoboi Quarter Final.Endeleeni kuhamisha magoli tukitoboa Robo Fainali kwenda Nusu Fainali muendelee na utabiri wenu usiozingatia takwimu Bali akili za kushikiwa za wachambuzi maandazi
 
Back
Top Bottom