Kiutaalamu itakuabni uchoko/uchokoziHivi kwani nyie hiyo Loosers cup mushachukua maana naona uko bize na Simba tu kana uto hamna shughuli yoyote, hii kiataalamu inaitwaje?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwani si tulikubaliana kwamba Simba haitaingia robo fainali ya CAF CL (sio shirikisho)? Imekuwaje tena useme itapata aibu robo fainali wakati haitaingia? Hebu tujikumbushe kauli yako bwana mchambambuzi:Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Leo Simba watashinda njaa tu
Mpira au mauzauza? mpira upi wa FIFA una michoro ya makapeni?Hivi bado kuna mburukenge ka hawa dunia hii???
Mpira unachezwa hadharani sio gizani, jana Simba kapiga pira la maana, halafu kuna vyura wanahara ka wamelishwa hamila....[emoji53]
Wamekusikia Mama Mjamzito [emoji3]Ila utopolo ni utopolo tu....juz walikuwa wanatunanga kuwa tunafunga kamoja Chali.....sasa tumeamua kupiga wiki napo hawataki Tena....yan hawana tofaut na mama mjamzito.....
Huna akili za kukuongoza hadi usemewe na mwingine, Wananchi M 61 wanakosaje akili ukiwemo we mwenyewe?Hivi ni kweli kwamba yanga wenye akili wako wawili eeh???sa hii ndo nini??
Wewe kama utopolo hiyo aibu inakuhusu vipi?!Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz
Hasara
Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Tuwacheeeeeeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mna kelele sana