Uchambuzi: Simba huko robo fainali tujiandae kupata aibu

Uchambuzi: Simba huko robo fainali tujiandae kupata aibu

Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha
Kwani si tulikubaliana kwamba Simba haitaingia robo fainali ya CAF CL (sio shirikisho)? Imekuwaje tena useme itapata aibu robo fainali wakati haitaingia? Hebu tujikumbushe kauli yako bwana mchambambuzi:

Leo Simba watashinda njaa tu
 
Kwa wenye macho makini ya kiuchambuzi najua watakua wameona Jana kilichofanyika ni kuwa horoya walikuwa less motivated, hivyo kupelekea kuwa wazito mchezoni. Sababu ya kuwa less motivated ni kuwepo Kwa mgogoro baina ya kiongozii wao aliye ahidi pesa ndefu but hajawapa hivyo wlikasilika na kuamua kuwapa ushindi koloz

Hasara

Huku robo fainali tutegemee kupokea kichapo kama walichopokea horoya timu za huko znatisha

Hongereni Kwa kaushindi
View attachment 2557721
Wewe kama utopolo hiyo aibu inakuhusu vipi?!
 
Back
Top Bottom