Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Simba wasipokuwa makini hawendi robo fainali, wanaenda kucheza dhidi ya Bravos wenye alama sita, kama ikitokea Bravos akashinda, atafikisha alama 9 sawa na Simba na mchezo wa mwisho Bravos anamaliza na kibonde Csfaxien Na Bravos atafikisha Alama 12
Wakati Simba anamaliza na Constatine ambaye huenda atakuwa ameshafuzu kwasababu Constatine anaenda kucheza na kibonde Csfaxien
AMESEMA SALAMA NGALE mchambuzi wa soka
Wakati Simba anamaliza na Constatine ambaye huenda atakuwa ameshafuzu kwasababu Constatine anaenda kucheza na kibonde Csfaxien
AMESEMA SALAMA NGALE mchambuzi wa soka