Uchambuzi: Simba ni ngumu kwenda robo fainali, soma Kwa umakini

Uchambuzi: Simba ni ngumu kwenda robo fainali, soma Kwa umakini

Ukweli huu hapa ..
Ili Simba afuzu kirahisi kabisa ASIPOTEZE GAME YA BRAVO...
Apate sare tu inatosha akishinda itakua Bora zaidi maana atakua ameshafuzu Moja kwa moja...
Ila akipoteza itakua ni balaa
Ni kweli mkuu
 
hivi unamjua Bravo akicheza ugenini anakuaje yan hamna kazi pale so naamini ata game ya mwisho atafungwa na csfaxien mana atakua ugenini na sfaxien hawaz maliza hi hatua hana point na kwa kuchukua ni Bravo akienda kwao,,na Bravo anaruhusu sana magoli sidhan kama atatoka kwa mwarabu
Ndoto nyevu hiyo
 
Simba anatakiwa kupata sare au ushindi na Bravos vinginevyo itakuwa imeisha hiyo.

Simba hana uwezo wa kumfunga CS labda ataambulia sare.

So pona pona ya Simba ni apate sare zote 2.

Wale wengine kina Uto washajikatia tamaa hawana hata matumaini [emoji23][emoji23]
Yanga lazima atinge robo final
 
Bravo anatakiwa kushinda kwa goli mbili najua mechi ya mwisho kwake itakuwa rahisi,kwanza wale watunisia washatoka na pili wanahasira na baada ya mechi ya Mkapa sizani kama watakaza. Ila kama wakipata droo watafuzu huku kwa mkapa inabakia vita ya kugombania nafasi ya kwanza.
Kwa Simba inayoshinda kagoli kamoja
 
Ain't that the same with everything in life ?!!!

Ni kama kusema baada ya masaa 24 ni siku nyingine (i.e. usipokuwa makini kwa lolote lile au timu yoyote ile lazima itafungwa / shindwa)
Hahaa it's just like a fair warning
 
Ila simba asipotinga robo fainali kwenye kundi lake itakuwa aibu kwake coz ktk kundi yeye ndie yupo juu zaidi ktk timu zilizo bora Africa kwa mujibu wa caf
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom