Uchambuzi: Simba ni ngumu kwenda robo fainali, soma Kwa umakini

Ukweli huu hapa ..
Ili Simba afuzu kirahisi kabisa ASIPOTEZE GAME YA BRAVO...
Apate sare tu inatosha akishinda itakua Bora zaidi maana atakua ameshafuzu Moja kwa moja...
Ila akipoteza itakua ni balaa
Ni kweli mkuu
 
Ndoto nyevu hiyo
 
Yanga lazima atinge robo final
 
Kwa Simba inayoshinda kagoli kamoja
 
Ain't that the same with everything in life ?!!!

Ni kama kusema baada ya masaa 24 ni siku nyingine (i.e. usipokuwa makini kwa lolote lile au timu yoyote ile lazima itafungwa / shindwa)
Hahaa it's just like a fair warning
 
Ila simba asipotinga robo fainali kwenye kundi lake itakuwa aibu kwake coz ktk kundi yeye ndie yupo juu zaidi ktk timu zilizo bora Africa kwa mujibu wa caf
Sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…